Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Nadhani wewe ndio limited sio mimi na sijui unaelekea wapi na hoja zako. Ni hivi hakuna liability bila ya responsibilities, regardless of who is appointing people each position is accompanied with duties before liability fall upon their seniors. Mhusika lazima ajibu his contractual obligation na kama ni makosa yake so is the liability.mkuu tatizo lako ni lile lile la kuwa paronchial...
nikuulize swali, je unamjua mwajiri mkuu na mkuu wa utumishi wa umma nchini ni nani?
unajua kitu kinaitwa vacarious liability na corporate liability?
Hata kama JK anateua kila mtu lakini wote hao wanamajukumu yanayoeleweka kikazi, tatizo la JK linaweza kuwa kuteua watu wasio na uwezo sehemu zingine. Aindoi accountabiliy ya mfanyakazi, au kiongozi wa kitendo inategemea na kosa lenyewe kama washauri wanasema pale kuna usimamizi mmbovu ina maana CEO ni tatizo; wakisema pale accountants awafuati taratibu za kuripoti zinazopendekezwa na CAG ina maana chief accountant washirika anahusika.
Ndio maana CAG wamelalama sana ata kama wizi mwingi unafanyika bila ya ushirika wa viongozi wao (na watu wanachukuliwa hatua kutokana na makosa yao) bado kuna tatizo la management kwenye kuboresha mifumo yao ya kazi na usimamizi wa rasilimali zao including ppl ili kupunguza tatizo.
That is to say blameworthy is based upon the nature of the illicit act, inaweza kuwa mtu, msimamizi, kiongozi mkuu au shirika.
Lakini hoja hapa ni mfumo hayo mengine sijui unayaleta ya nini.