Hivi KIKWETE HANA KASHFA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi KIKWETE HANA KASHFA?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Shaycas, Dec 15, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Bill Clinton alipatwa na kashfa ya ngono,nusura apoteze urais,vipi JK anaweza kuwa salama kwa kashfa hizi au mpaka wahusika kama MONICA LEWISKY wajitokeze ndio watu washike bango?(kufuata upepo)
   
 2. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kashfa yake kubwa ni ya uongozi dhaifu!
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hana...speculations and wishes tu.
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  He is never serious in serious issue and the oppossite is the case
   
 5. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kuna tetesi kuwa,baada ya kupata urais mkewe alimwambia awachukue watoto wote wa nje(sijui wangapi) awalee na kuwa tunza lakini jamaa akakataa na shortly akamuoa binti wa SAKIYA MEGHIJI,then mambo yakaendelea kihivyo hivyo kwenye ndoa yake na Salma
   
 6. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Haina uhusiano na urais wake very personal!above all ni uzushi

  wewe una vimada wangapi? mbona hatukusemi?
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Kwani jamani Kikwete si mwana CCM ?Sofia Simba alituambia hakuna kiongozi wa CCM aliyemsafi yaani kila mmoja wao ana skandali kwa hilo Madam Simba nampa asilimia mia moja
   
 8. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2009
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 180
  mambo ya mahusiano huku kwetu Afrika msilinganishe na Ulaya...acheni kufuata upepo...mbona Zuma ana wanne na anapeta tu?? msitake tuige kila kitu kwa wazungu,na wao waacheni waige huku,kha!!
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  duuuh akusanye watoto wote wa nje si pale magogoni patajengwa hostel ndogo ya kuwa accomodate..hahaaaaaa
   
 10. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  Nafikiri sasa kuna haja ya MODs kuanza kufanyia vetting mijadala inayoanzishwa humu kabla haijabandikwa hapa jamvini, kama hoja sio ya msingi itupwe kapuni. Hii itachangia sana watu kusugua vichwa vyao wakati wanaandaa vitu vya kupost hapa. I miss the old JF kinoma, sasa hivi hapa kumejaa maugomvi ya watu na wake zao, mtu hata akinyimwa au mkewe asipomkatikia anaona ni sawa tu kutuletea huo upuuzi hapa tujadili. Sasa na huyu anataka tuanze kujadili ngono za Raisi hapa....
   
 11. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Well said kana ka nsungu! kwa kweli kuna haja ya mijadala kufanyiwa vetting vinginevyo tunakoelekea sio kuzuri
   
 12. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Kwi kwi kwi kwi mbavu zangu jamani zinauma
   
 13. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  ....nilikuwa naye kabla sijaoa.kwa sasa ninae mke ninayempenda na kumheshimu.tunashauriana mambo mengi.
   
 14. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  ....Sina uhakika kama Zuma anao vimada wanne au ni wake zake kwa mujibu wa mila na desturi zao.
   
 15. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  !!Tunaongelea mambo ya rais ambayo yanaweza(kama yapo)kufanya uongozi wake ukawa wa namna fulani.Mfano kama rais ana uhusiano ya kingono na baadhi ya mawaziri/watendaji wake atashindwa kuchukua hatua stahiki pale mtu wake huyo atakapo shindwa kutekeleza majukumu yake na athari yake ni kuyumba na kuongezeka kwa matatizo ya kiuongozi ktk nchi.
   
 16. S

  Semjato JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2009
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  sawa,lakini hatuna jukumu la kumchimbachimba..ikija thibitika alishindwa chukua hatua stahiki kwa sababu za mahusiano yake yasiyofaa ndio tutaanzia hapo,vinginevyo this is irrelevant.
   
 17. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ombeni Bungeni wafanye appraisal yake ili waone kama bado anatufaa! Kikatiba nadhani iko poa. Lakini nini ako mbaya?
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  muacheni mzee-kijana APUMZIKE KWA AMANI!au mnataka aweke mambo hadharani kama ZUMA!:D
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...