Hivi katika mazingira haya kuna haja gani ya ndoa?

Miss madeko naona unaongea kwa hisia huku unarusha mikono, angalia isimpige alo mbele yako
Ha ha h aha ha kama ulikuwepo aisee utoa je ili upikiwe na kufuliwa pyuuuuuu. Nishindea kunako sita kwa sita ndio shida ila mambo mengine ya msingi lazima uyapate najua wewe ndio mfalme wangu hakuna zaidi yako siwezi kukuacha ule kisichofaa na sio lazima kila siku nipike mimi ila utaenjoy accordingly no matter what
 
Hakuna shida kuoa mwanamke mwenye kazi kikubwa ajue majukumu yake Kama mke na mama kwa watoto wake.
 
Umedadafua vizuri sanaaa, watu wanapinga tu hapa ila ukweli upo wazi kama kuku aliepulizwa na upepo.
Sure mkuu,na kuna kundi lingine na wanawake wanajiita mafenist, hao ndio kabisa nao hawawezi ndoa kutokana na mishe mishe zao..Ni shidaa
 
Kwa mentality hii familia yako itateseka sana siku ukifa kwasabu mwanamke kuzoea kukinga mikono na kuletewa.
Ukifa utarahishia familia yako kudhulumu na kupora mali za mjane kwasabu wewe ndo ulikua mtafutaji mkeo akiwa golikipa kwahiyo watasema mwanamke hana chake.
Ungefikiria hayo ungeona umuhimu wa mwanamke kufanya kazi.



Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?
Swali langu yote si yanafanyika au unapenda urudi umkute mkeo na mwiko na huku jasho linamtoka kisa kukusongea ugali? Achana na mfumo dume wewe kuwa wa kisasa.................... hata km siendi kazini huko jikoni siingi ng'ooo na nguo pia sitafua utafuliwa na utapikiwa na utakula
Au sio? Basi unajiona umeongea bonge la point hapo, mkizalishwa na kuachwa mbio kufungua thread JF.. Muda wengine tusiwalaumu wanaume wanaozalisha na kukimbia
 
Mifano ulotoa hapo ni tabia mkeo alizo nazo (hata kama umesema anasimamia miradi yenu)
unakuja hapa kupotosha watu ati kuna haja kuoa? Kuna vitu mke anafanya wewe hufanyi Wewe unazaa?
Hivi mwanamke kuwa na kazi inamaanisha asifanye majukumu yake? Kama mkeo hafanyi pole yako. Wengine wanafanya.

Mke anaefanya kazi lazima chakula cha usiku apike yeye. Lazima awe na tabia ya kuamka sa11 ili aandalie mtoto uji , chai ndo aende kazini.

Lakini pia weekend usafi lazima afanye afue apange nyumba na kupika chakula cha tofauti na siku zote maana ndo anakuwa na muda wa kutosha.
Mtu kama alizoea kufanya kazi za nyumbani kazi ya kuajiriwa haiwezi kuwa kikwazo.

Sema wenye bahati mbaya wanakutana na ma slay queen basi wanahisi wanawake wote wako hivyo.
Dada wa kazi siku zote ni msaidizi. Kama mm ambae sipendi wadada wa kazi sijui itakuwaje nikilazimika kuwa nae? mm sipendagi mtu kunifanyia kazi yeyote na akifanya isiwe na kasoro.
Naamini mpaka mtu akubali kuwa mke wa mtu anajua majukumu yake.
Nakupenda
 
Narudisha swali kwako je kuna umuhimu wa kusomesha mabinti wakati wanatakiwa kuja kuwa wanawake wakulea watoto home?
 
Back
Top Bottom