Hawezi kuamini....hata kigogo haamini yaani lissu atakuwa amewadharau sana hao cdmMaisha yamebadirika hata mbowe haamini
Wewe kweli miss madeko!Hivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?
Swali langu yote si yanafanyika au unapenda urudi umkute mkeo na mwiko na huku jasho linamtoka kisa kukusongea ugali? Achana na mfumo dume wewe kuwa wa kisasa.................... hata km siendi kazini huko jikoni siingi ng'ooo na nguo pia sitafua utafuliwa na utapikiwa na utakula
Umejifunga ktk mawazo yako mwenyewe na siyo kosa.Asie taka golikipa liko wazi ni mario, mvivu mpenda kitongm ukiangalia sifa hzo ni za wanawake huyu sio MWANAUME ndo maana anatafuta mwanaume aolewe nae.

Duhh wew kweli madekoHivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?
Swali langu yote si yanafanyika au unapenda urudi umkute mkeo na mwiko na huku jasho linamtoka kisa kukusongea ugali? Achana na mfumo dume wewe kuwa wa kisasa.................... hata km siendi kazini huko jikoni siingi ng'ooo na nguo pia sitafua utafuliwa na utapikiwa na utakula
Unakuta house G ana unafuu mbali sana kimaadili kuliko wenye mtoto, sasa hapo si bora wawe wanasaidiwa tu.Angalau mtoto awe anaokota mambo ya msingiDuuu kama mzazi maadili sifuri, house girl ndo anamaadili ?
Hayo ni maoni yake na ww ni maoni yako , kila mbuyu na shetani wake ,Hivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?
Swali langu yote si yanafanyika au unapenda urudi umkute mkeo na mwiko na huku jasho linamtoka kisa kukusongea ugali? Achana na mfumo dume wewe kuwa wa kisasa.................... hata km siendi kazini huko jikoni siingi ng'ooo na nguo pia sitafua utafuliwa na utapikiwa na utakula
Mifano ulotoa hapo ni tabia mkeo alizo nazo (hata kama umesema anasimamia miradi yenu)Duuu kama mzazi maadili sifuri, house girl ndo anamaadili ?
Maelezo haya yanafanana sana na elimu yetu ya TZ. Field na darasani ni mbingu na ardhi.Mke anaefanya kazi lazima chakula cha usiku apike yeye. Lazima awe na tabia ya kuamka sa11 ili aandalie mtoto uji , chai ndo aende kazini.
Lakini pia weekend usafi lazima afanye afue apange nyumba na kupika chakula cha tofauti na siku zote maana ndo anakuwa na muda wa kutosha.
Mtu kama alizoea kufanya kazi za nyumbani kazi ya kuajiriwa haiwezi kuwa kikwazo.
Sema wenye bahati mbaya wanakutana na ma slay queen basi wanahisi wanawake wote wako hivyo.
Dada wa kazi siku zote ni msaidizi. Kama mm ambae sipendi wadada wa kazi sijui itakuwaje nikilazimika kuwa nae? mm sipendagi mtu kunifanyia kazi yeyote na akifanya isiwe na kasoro.
Naamini mpaka mtu akubali kuwa mke wa mtu anajua majukumu yake.
Hivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?
Swali langu yote si yanafanyika au unapenda urudi umkute mkeo na mwiko na huku jasho linamtoka kisa kukusongea ugali? Achana na mfumo dume wewe kuwa wa kisasa.................... hata km siendi kazini huko jikoni siingi ng'ooo na nguo pia sitafua utafuliwa na utapikiwa na utakula
Ntamkula na mpishi kudadeki.Hivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?