We wacha umbeya kama anaumwa si hospitari zipo, watampeleka akatibiwe, lakini yeye yuko fiti maana hajalalamika!!!!!!!! Hiyo gear imefeli pole!!!!!kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.
Shule za kata at work!We wacha umbeya kama anaumwa si( hospitari) zipo, watampeleka akatibiwe, lakini yeye yuko fiti maana hajalalamika!!!!!!!! Hiyo gear imefeli pole!!!!!
Sema "shule za ccm at work"Shule za kata at work!
Inawezekana chakula anapata kidogo sana hata mimi nimemuona, unashindia karanga na maji, lazima afya itakuwa mgogoro
Kazi anayofanya kwa sasa ni ngumu, kutwa kuuza sera za chama chake hapati muda wa kupumzika. Nakumbuka hata JK kipindi kile alichoka na kuchakaa sana wakati wa kampeni hadi "akaanguka" jukwaani.
kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.
kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.
Inawezekana chakula anapata kidogo sana hata mimi nimemuona, unashindia karanga na maji, lazima afya itakuwa mgogoro
Shule za kata at work!
pamoja na hayo mnayoyazungumzia bado hajafikia takwimu ya john walker ya kudondoka 'hovyo hovyo' jukwaani