Hivi Kashindye wa CHADEMA anaumwa?


M

mkigoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
1,181
Likes
2
Points
0
Age
38
M

mkigoma

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2011
1,181 2 0
kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.
 
Mtumishi Wetu

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
5,141
Likes
497
Points
180
Age
65
Mtumishi Wetu

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
5,141 497 180
kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.
We wacha umbeya kama anaumwa si hospitari zipo, watampeleka akatibiwe, lakini yeye yuko fiti maana hajalalamika!!!!!!!! Hiyo gear imefeli pole!!!!!
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,245
Likes
4,664
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,245 4,664 280
Inawezekana chakula anapata kidogo sana hata mimi nimemuona, unashindia karanga na maji, lazima afya itakuwa mgogoro
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,245
Likes
4,664
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,245 4,664 280
We wacha umbeya kama anaumwa si( hospitari) zipo, watampeleka akatibiwe, lakini yeye yuko fiti maana hajalalamika!!!!!!!! Hiyo gear imefeli pole!!!!!
Shule za kata at work!
 
kinyoba

kinyoba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2011
Messages
1,254
Likes
203
Points
160
kinyoba

kinyoba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2011
1,254 203 160
Nadhani haumwi bali AMECHAKAA tu. Hata mimi huwa najiuliza sana.
 
L

luckman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Messages
1,211
Likes
188
Points
160
L

luckman

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2010
1,211 188 160
fikra dhaifu na mawazo hafifu kamwe havitamuondoa mtu yeyote awaye gizani!siasa za maji taka tu ndo maana wanawaonga waislah dhaifu chini ya kivuli cha allah kufanya hijab mtaji wa kisiasa hali dunia nzima yajua kinachoendelea! waislam safi wapo na wanajua ukweli wa mambo!sasa watu kama hawa mnaokuja na vipost vyenu vya kinafiki na akili zenu nusu! sisi tupo tunaona na mwisho wenu u karibu mno!learn from examples!
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,157
Likes
1,463
Points
280
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,157 1,463 280
pamoja na hayo mnayoyazungumzia bado hajafikia takwimu ya john walker ya kudondoka 'hovyo hovyo' jukwaani
 
OTIS

OTIS

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Messages
2,142
Likes
12
Points
135
OTIS

OTIS

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2011
2,142 12 135
Hali itakuwa mbaya zaidi baada ya matokeo.
OTIS.
 
Arvin sloane

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
969
Likes
40
Points
45
Age
37
Arvin sloane

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
969 40 45
Inawezekana chakula anapata kidogo sana hata mimi nimemuona, unashindia karanga na maji, lazima afya itakuwa mgogoro
hahahahahahaha hii inawezekana ndio maana afya yake hairidhishi.
 
Arvin sloane

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
969
Likes
40
Points
45
Age
37
Arvin sloane

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
969 40 45
hzo ni shida tuu wala haumwi akipata ubunge atang'aa.
 
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,263
Likes
4,732
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,263 4,732 280
Kazi anayofanya kwa sasa ni ngumu, kutwa kuuza sera za chama chake hapati muda wa kupumzika. Nakumbuka hata JK kipindi kile alichoka na kuchakaa sana wakati wa kampeni hadi "akaanguka" jukwaani.
 
K

Kapwani

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2009
Messages
668
Likes
2
Points
0
K

Kapwani

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2009
668 2 0
namkumbuka bilali wakati wa kampeni
mix with yours
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,245
Likes
4,664
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,245 4,664 280
Kazi anayofanya kwa sasa ni ngumu, kutwa kuuza sera za chama chake hapati muda wa kupumzika. Nakumbuka hata JK kipindi kile alichoka na kuchakaa sana wakati wa kampeni hadi "akaanguka" jukwaani.
Ha! Ha! Ha! Ha!. katavi bana mbona Dr Slaa, wakati wa kampeni za urais alitembea nchi nzima kumwaga sera, lakini mbona hakuchakaa.

Ebu tafuta gazeti la mwananchi la Sep 26 2011. Umuone huyo Kashindye, jinsi alivyochoka yaani kavaa Magwanda ya CDM yanambwaya!
 
N

NGEDENGE

Senior Member
Joined
Sep 20, 2011
Messages
109
Likes
0
Points
0
N

NGEDENGE

Senior Member
Joined Sep 20, 2011
109 0 0
kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.
wewe ndo unaumwa CCM uende aghakan ukatibiwe!
 

Forum statistics

Threads 1,213,961
Members 462,439
Posts 28,496,616