Hivi Kashindye wa CHADEMA anaumwa?

Hivi Kashindye wa CHADEMA anaumwa?

We wacha umbeya kama anaumwa si hospitari zipo, watampeleka akatibiwe, lakini yeye yuko fiti maana hajalalamika!!!!!!!! Hiyo gear imefeli pole!!!!!
kwani ameshawahi anguka kama yule mzeee wa kifafa!
 
Inawezekana chakula anapata kidogo sana hata mimi nimemuona, unashindia karanga na maji, lazima afya itakuwa mgogoro

umbea huu ata akishindia karoti,amekuja kulalama kwako? Mnanini nyie majamaa?
 
Kuanguka nako kuchakaa au ni kutaka huruma ya wananchi,huyu jamaa alivo shushuliwa jana facebook,uenda ameanguka tena..
 
haumwi ila kukomboa watu kutoka usikuleni (UCCM) ni kazi ngumu ni kwanza asote sana kuomba mizimu yote ili wachawi wasimuzulu.
 
kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.

Unamkumbuka yule jamaa aliyekuwa anaanguka anguka kwenye majukwaa ya kampeni, je alikuiwa anaumwa hebu mwana magamba utujuze.
 
"akaanguka" jukwaani
mara kadhaa



Kazi anayofanya kwa sasa ni ngumu, kutwa kuuza sera za chama chake hapati muda wa kupumzika. Nakumbuka hata JK kipindi kile alichoka na kuchakaa sana wakati wa kampeni hadi "akaanguka" jukwaani.
 
kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.

nyie mmekosa kazi,kwani afya ya m2 kuwa dhaifu inawahusu nini nyie??? Hata kama akishindia karanga na maji c yupo kazini! Nyie mnaona kafumu ana afya nzur? Kazi kula tu,akiingia madarakani ndo atapasuka kabisa.
 
We ni mtu wa ajabu sana,mwenye uwezo mdogo wa kufikiri.Embu fuatilia idadi ya campaign zinazofanya na Chadema kwa siku,ukipata jibu utaweza gundua kwa nini siku hadi siku afya yake inadhoofika.Na kubwa ninalo liona mimi ni namna anavyotumia nguvu kutaka kulinyakua jimbo hilo,CCM kupitia Kafumu hawezi dhoofika kwani wanajua namna watakavyopata ushindi,kwa ujanja janja!
 
kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.

Acha ukenge wako mbona wewe umekondeana hatusemi!!!!!!!!!!!!!!!
 
Shule za kata at work!

nilijua wewe ni mtetezi wa magamba sasa unaponda shule za kata
akija mtu na thread inayohusu upuuzi wa shule za kata unampinga
wewe ni gonjwa hatari kuliko KASWENDE
 
Mbona hata rais wetu tuliyepewa (na tume ya uchaguzi) amekuwa akiangukaanguka majukwaani kila leo!
 
Back
Top Bottom