Hivi Kashindye wa CHADEMA anaumwa?

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.
 
kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.
We wacha umbeya kama anaumwa si hospitari zipo, watampeleka akatibiwe, lakini yeye yuko fiti maana hajalalamika!!!!!!!! Hiyo gear imefeli pole!!!!!
 
Inawezekana chakula anapata kidogo sana hata mimi nimemuona, unashindia karanga na maji, lazima afya itakuwa mgogoro
 
fikra dhaifu na mawazo hafifu kamwe havitamuondoa mtu yeyote awaye gizani!siasa za maji taka tu ndo maana wanawaonga waislah dhaifu chini ya kivuli cha allah kufanya hijab mtaji wa kisiasa hali dunia nzima yajua kinachoendelea! waislam safi wapo na wanajua ukweli wa mambo!sasa watu kama hawa mnaokuja na vipost vyenu vya kinafiki na akili zenu nusu! sisi tupo tunaona na mwisho wenu u karibu mno!learn from examples!
 
Kazi anayofanya kwa sasa ni ngumu, kutwa kuuza sera za chama chake hapati muda wa kupumzika. Nakumbuka hata JK kipindi kile alichoka na kuchakaa sana wakati wa kampeni hadi "akaanguka" jukwaani.
 
Kazi anayofanya kwa sasa ni ngumu, kutwa kuuza sera za chama chake hapati muda wa kupumzika. Nakumbuka hata JK kipindi kile alichoka na kuchakaa sana wakati wa kampeni hadi "akaanguka" jukwaani.

Ha! Ha! Ha! Ha!. katavi bana mbona Dr Slaa, wakati wa kampeni za urais alitembea nchi nzima kumwaga sera, lakini mbona hakuchakaa.

Ebu tafuta gazeti la mwananchi la Sep 26 2011. Umuone huyo Kashindye, jinsi alivyochoka yaani kavaa Magwanda ya CDM yanambwaya!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom