Hivi karibuni naongeza idadi ya single mothers mtaani

Hivi karibuni naongeza idadi ya single mothers mtaani

Mkuu pole sana naona hapa unapata ushauri wa Aina mbali mbali
But she is still Young na huo ujauzito unamchanganya sana.
Pls pls naomba umvumilie tu 4months utavuka tu. Inavyooneka anawivu sana hasa usipopokea simu and wanawake wengine huwa wanajiona wakiwa wajawazito they can talk any shits achagui tusi linalomjia tu kichwani anatoa. Pls mvumilie hiyo miezi minne itakwisha then mtavuka tu.
Wewe mjali na mtunze yeye na hicho kichanga Mola chako.
Pole sana.
 
ima kaongeza vilevile
tapatalk_jpeg_1598381116204.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom