Hivi karibuni naongeza idadi ya single mothers mtaani

Ngoja nikomenti kwanza ndo nirudi kusoma maoni ya wadau.....

Eti unasemaje mkuu??

Uyo manzi mkimbie kama ukoma usiangalie ana nini , kuna mtu anajaza sumu hapo!! Nilishaambiwa hayo yote na singo mother fulani kwa sasa lakini nikaziba masikio wajue wenyewe ..

Mwisho wa siku walirudi wao kwa fujo sana tukaendelea kulea mtoto.
 
Karma mimi nimeeleza ukweli, mana uksoma hii stori ni kuwa kabla ya mimba walikuwa wanaelewana sana ila baada ya mimba mke kabadilika, kwa hyo ni waz kuwa tabia hzo zimetokana na hali ya ujauzito ukzngatia ujauzito wa kwanza.. Mimba zingne znakuwa na mambo meng, hvyo mwanaume unatakiwa kuwa mpole vingnevyo mnaweza hata kushndwana, mimba zingne zko complicated inahtaj busara badala ya ushndan, nadhan hata klinik daktari anatoa ushaur wa namna ya kuish na mjamzito.
Daah labda nijaribu kuchukua huu uamuzi nione itakuwaje baadae
 
Mkuu, ktk kila kituko anachofanya mwanamke mjamzito chukulia kuwa anafanya kwa sababu ya 'ujauzito'.
Jishushe, mthamin, mpende, mpe faraja ili kumjengea confidence.. Mbna kabla ya ujauzto mlikuwa mnaelewana vzur, hujiuliz? Jifunze kuish na mjamzito, ushshndane naye.
unajua kitu kibaya sana katika maisha ni kubashiri hisia za mtu what if hata mimba ikiisha bado maneno na tabia ni kama hizo hizo..?
 
Wakuu salam

Ni hivi, huyu binti nimekuwa nae kwenye mahusiano nilipokuwa chuoni, yeye pia akiwa chuo, makubaliano yetu ilikuwa ni kuja kufanya maisha pamoja, nikimaanisha kuoana, hivyo basi nililenga angalau kuwepo na utangulizi wa mimba tu ndio mengine yaendelee, maana siko tayari kuishi na mtu ambaye sitaweza kutengeneza nae familia,kunipatia watoto, kwa maana madada wengi siku hizi wanachezea vizazi wanatoa mimba sana sipendi nimuoe halafu ndio nigundue kwamba hawezi nipatia watoto na nimeshamuoa.

Nikazungumza nae tukapanga kuwa mwezi wa tisa baada ya chuo utaratibu wa mimba ufanyike, baada ya hapo nimtambulishe nyumbani kama mchumba na taratibu nyingine ziendelee, ila katika kufanya mapenzi mimba ikashika mwezi wa 5 akaniomba tuitoe ili mwezi wa tisa ubaki palepale, nikakatalia kabisa, alilazimisha sana, ikabidi nimtafutie watu wa kumshauri asitoe, basi ikawa usumbufu hivyo tukitofautiana kidogo anasema tuachane, siku moja alipiga simu akakuta iko busy akasema ninamsaliti japo nilimueleza kuwa si kweli nilikuwa naongea na mzazi, hakutaka anisikilize alisema mahusiano yaishe nisimtafute wala kumsumbua na wala mimba nisiiulizie, na wala nisishiriki chochote ataamua atakalo, ilikuwa kipindi cha mitihani nikatuliza akili yangu nikafanya mitihani yangu muda kama wa wiki tatu, akanitangulia kumaliza mitihani, akaenda nyumbani kwao, hapo mimba ikiwa na miezi minne, akaenda nyumbani, nilipomaliza mtihani nikamtafuta akasema amepata mtu wa kuilea mimba hivyo nisimsumbue, mimi hawezi kunitambulisha kama baba wa mtoto maana hatuendani, akaniblock kote sms, calls,whatsapp nikawa simpati!

Baada ya week mbili kupita, nikaona kanitoa block kote akanisms anaumwa sana na maji yanamtoka ukeni hajui ni ya nini, basi ikabidi nimchukue tu nimpeleke hospital kwanza atibiwe na kucheck afya ya mtoto kwenye ultrasound, mtoto alikuwa salama yeye alikuwa anasumbuliwa na homa, alipopona akaniambia kuwa anaomba kuwa nimsaidie pesa ya mahitaji ale anachojisikia, maana vyakula havipandi vya nyumbani, anashinda njaa muda mrefu, nimnunulie na nguo pana za kulelea ujauzito, nikamuuliza lakini si ulisema una mtu anayekulea na ujauzito, yuko wapi hadi ukose vyote hivyo, akasema ilikuwa si kweli yale maneno, nikapotezea hilo jambo nikamtimizia alilohitaji, hapo mimba ina miezi mitano na nyumbani kwao hawafahamu...nikamwambia asijali nitafanya utaratibu kuongea na wazee ili tuje pale nyumbani nifahamike kwanza, ndio awaambie ana mimba yangu ili asigombezwe na kulaumiwa sana...akasema kama sitafanikiwa kwenda mimi kwao ili nyumbani aruhusiwe kuja kujifungulia nyumbani kwetu, ataondoka aende mbali, akajifungulie mbali mkoa mwingine ambapo rafiki yake amepanga getto huko, nikamwambia haitashindikana atakuja aje kujifungulia nyumbani, huko sitaki aende ni mbali ya uangalizi wangu kwa mtoto.

Nikawaambia wazazi kuwa nina mchumba nahitaji tuanze taratibu za kwenda kutoa kishika uchumba, ili aweze kuruhusiwa kutoka kule aje kujifungua huku, maana yeye alisema kujifungulia nyumbani ni aibu hawezi, wazazi wakakubali tukapanga tarehe (Mwisho wa Mwezi huu wa 10). Mimi na yeye mahusiano yakaendelea kama kawaida hivyo namjali nampa anachohitaji, clinic nampeleka, ikafikia mahali akasema anahitaji nimsaidie mtaji afanye biashara ndogo ndogo, nikampa, nikamnunulia simu mpya..yaani kwa kifupi nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kutimiza mahitaji yake.

Jumamosi iliyopita nilikuwa kwenye ibada mida ya jioni, akapiga simu sikupokea, nikamsms kwamba nipo kwenye ibada siwezi ongea, akatuma sms kwamba si kweli, nafanya drama, nilivyomaliza nikamcheck nikaongea nae ila hakuwa anajibu vzuri siku nzima ya jumapili haikuwa nzuri, Jumatatu ya juzi ilipaswa tuamkie kwenda clinic, akakataa kwenda, nilikasirika nikamwambia "Una Maamuzi Ya Kipumbavu" akajibu Kama unataka kwenda, Kusanya vichangudoa vyako uende navyo" basi akaanza kusema kuwa namdharau na kumtukana, simthamini na hiyo mimba anataka aitoe tu maana ananiona ni mtu nisiyemjali na kumuheshimu, kwahiyo tuachane na wala nisiulizie chochote kuhusu mimba maana ameshasema tuachane, na hata mtoto nisiulizie, kwetu pia hawezi kuja aje aishie kuwa housegirl,kama kulea anaweza kulea mwenyewe bila kunishirikisha mimi lolote, na hata nikitaka pesa zangu zote nilizompa arudishe yupo tayari, nikamwambia kaa nazo...kuhusu suala la mimba sijajua atafanya nini akiamue kuzaa na azae, akiamua kutoa na atoe, nimefika uwezo maximum wa kumhandle, potelea mbali, mimba ina miezi mitano sasa.

I do not care anymore.

Ndio nimeamua hivyo wakuu, au mnasemaje.
Utakua mpumbavu zaidi ya huyo dem wako kama utaruhusu mtoto wako akalelewe na single mother au kidume kingine akulelee mtoto wako

Pia inabidi uelewe kwamba wanawake wakiwa kwenye kipindi cha ujauzito huwa wanabadilika sana kitabia. Kwenye kila kitu yy anakua anatafuta kosa tu kama unavyosema kwamba usipopokea simu anadhan uko na machangudoa.

Lastly, fatilia kama kweli hio mimba ni yako au anakuhadaa tu coz hawa madem wanaweza kuwa wanajua mhusika wa mimba lkn bado wakakufanya uhisi kama mimbavni yako kumbe anataka mahitaji kutoka sehemu zote mbili. Coz dem mwenye akili hawezi kumkataa mwenye mimba bila sababu unless huyo dem awe chizi
 
Daah labda nijaribu kuchukua huu uamuzi nione itakuwaje baadae
acha wasikuambie maneno ya ajabu wewe kaa kimy akama ni haki yako lazima atakutafuta tuu muache aaruke ruke kama kuku we kaa kimya maana huyo ushamweka kwenye himaya yako mkuu we akimaliza maneno yake kaa tulia usimjibu ataenda ende siku mbili anarudi...
 
We bado hujakomaa mwenzio ana ujauzito tena wa kwanza una mdrive crazy na wewe unaenda nae hivyo hivyo hatimae unataka kuachana nae.Kwanza tambua huyo anakupenda kweli na ndiyo maana ana wivu mkali sana na wewe na anajua umemtundika li mimba ili um dump amejawa na hofu ambayo kwa sasa ndiyo inayozaa mawivu yenye mifarakano ya kitoto.
SO USHAURI WANGU MPE SUPPORT KWA SABABU YUPO KWENYE HALI YA UJAUZITO ILI UMCHECK BAADA YA KUJIFUNGUA.
Wakuu salam

Ni hivi, huyu binti nimekuwa nae kwenye mahusiano nilipokuwa chuoni, yeye pia akiwa chuo, makubaliano yetu ilikuwa ni kuja kufanya maisha pamoja, nikimaanisha kuoana, hivyo basi nililenga angalau kuwepo na utangulizi wa mimba tu ndio mengine yaendelee, maana siko tayari kuishi na mtu ambaye sitaweza kutengeneza nae familia,kunipatia watoto, kwa maana madada wengi siku hizi wanachezea vizazi wanatoa mimba sana sipendi nimuoe halafu ndio nigundue kwamba hawezi nipatia watoto na nimeshamuoa.

Nikazungumza nae tukapanga kuwa mwezi wa tisa baada ya chuo utaratibu wa mimba ufanyike, baada ya hapo nimtambulishe nyumbani kama mchumba na taratibu nyingine ziendelee, ila katika kufanya mapenzi mimba ikashika mwezi wa 5 akaniomba tuitoe ili mwezi wa tisa ubaki palepale, nikakatalia kabisa, alilazimisha sana, ikabidi nimtafutie watu wa kumshauri asitoe, basi ikawa usumbufu hivyo tukitofautiana kidogo anasema tuachane, siku moja alipiga simu akakuta iko busy akasema ninamsaliti japo nilimueleza kuwa si kweli nilikuwa naongea na mzazi, hakutaka anisikilize alisema mahusiano yaishe nisimtafute wala kumsumbua na wala mimba nisiiulizie, na wala nisishiriki chochote ataamua atakalo, ilikuwa kipindi cha mitihani nikatuliza akili yangu nikafanya mitihani yangu muda kama wa wiki tatu, akanitangulia kumaliza mitihani, akaenda nyumbani kwao, hapo mimba ikiwa na miezi minne, akaenda nyumbani, nilipomaliza mtihani nikamtafuta akasema amepata mtu wa kuilea mimba hivyo nisimsumbue, mimi hawezi kunitambulisha kama baba wa mtoto maana hatuendani, akaniblock kote sms, calls,whatsapp nikawa simpati!

Baada ya week mbili kupita, nikaona kanitoa block kote akanisms anaumwa sana na maji yanamtoka ukeni hajui ni ya nini, basi ikabidi nimchukue tu nimpeleke hospital kwanza atibiwe na kucheck afya ya mtoto kwenye ultrasound, mtoto alikuwa salama yeye alikuwa anasumbuliwa na homa, alipopona akaniambia kuwa anaomba kuwa nimsaidie pesa ya mahitaji ale anachojisikia, maana vyakula havipandi vya nyumbani, anashinda njaa muda mrefu, nimnunulie na nguo pana za kulelea ujauzito, nikamuuliza lakini si ulisema una mtu anayekulea na ujauzito, yuko wapi hadi ukose vyote hivyo, akasema ilikuwa si kweli yale maneno, nikapotezea hilo jambo nikamtimizia alilohitaji, hapo mimba ina miezi mitano na nyumbani kwao hawafahamu...nikamwambia asijali nitafanya utaratibu kuongea na wazee ili tuje pale nyumbani nifahamike kwanza, ndio awaambie ana mimba yangu ili asigombezwe na kulaumiwa sana...akasema kama sitafanikiwa kwenda mimi kwao ili nyumbani aruhusiwe kuja kujifungulia nyumbani kwetu, ataondoka aende mbali, akajifungulie mbali mkoa mwingine ambapo rafiki yake amepanga getto huko, nikamwambia haitashindikana atakuja aje kujifungulia nyumbani, huko sitaki aende ni mbali ya uangalizi wangu kwa mtoto.

Nikawaambia wazazi kuwa nina mchumba nahitaji tuanze taratibu za kwenda kutoa kishika uchumba, ili aweze kuruhusiwa kutoka kule aje kujifungua huku, maana yeye alisema kujifungulia nyumbani ni aibu hawezi, wazazi wakakubali tukapanga tarehe (Mwisho wa Mwezi huu wa 10). Mimi na yeye mahusiano yakaendelea kama kawaida hivyo namjali nampa anachohitaji, clinic nampeleka, ikafikia mahali akasema anahitaji nimsaidie mtaji afanye biashara ndogo ndogo, nikampa, nikamnunulia simu mpya..yaani kwa kifupi nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kutimiza mahitaji yake.

Jumamosi iliyopita nilikuwa kwenye ibada mida ya jioni, akapiga simu sikupokea, nikamsms kwamba nipo kwenye ibada siwezi ongea, akatuma sms kwamba si kweli, nafanya drama, nilivyomaliza nikamcheck nikaongea nae ila hakuwa anajibu vzuri siku nzima ya jumapili haikuwa nzuri, Jumatatu ya juzi ilipaswa tuamkie kwenda clinic, akakataa kwenda, nilikasirika nikamwambia "Una Maamuzi Ya Kipumbavu" akajibu Kama unataka kwenda, Kusanya vichangudoa vyako uende navyo" basi akaanza kusema kuwa namdharau na kumtukana, simthamini na hiyo mimba anataka aitoe tu maana ananiona ni mtu nisiyemjali na kumuheshimu, kwahiyo tuachane na wala nisiulizie chochote kuhusu mimba maana ameshasema tuachane, na hata mtoto nisiulizie, kwetu pia hawezi kuja aje aishie kuwa housegirl,kama kulea anaweza kulea mwenyewe bila kunishirikisha mimi lolote, na hata nikitaka pesa zangu zote nilizompa arudishe yupo tayari, nikamwambia kaa nazo...kuhusu suala la mimba sijajua atafanya nini akiamue kuzaa na azae, akiamua kutoa na atoe, nimefika uwezo maximum wa kumhandle, potelea mbali, mimba ina miezi mitano sasa.

I do not care anymore.

Ndio nimeamua hivyo wakuu, au mnasemaje.
 
Still you're not matured enough!!!

Suburi kwanza upevuke kiakili, ndio upalamie hayo mambo. Unless lazima uchemke kijana.......mahusiano ya kimapenzi sio ngono tu!!

Ila maadam ushafanya kosa, no way.....just jaribu kuielewa hali haliyokuwa nayo huyo binti. Hayo mahasira yako ya kipuuzi puuzi, yaweke pembeni kwanza.....fight maisha ya huyo binti na mwanao aliyopo tumboni.
 
jambo la kwanza kabisa ufahamu umeingia kwenye ulimwengu mwingine kabisa, yani unatoka kwenye utoto sasa unaelekea kulea mtoto. kama unahisi wewe bado mtoto basi ndio vile kuleana na mtoto wako.

ukiacha hayo, nafikiri unafanya kosa kubwa sana kumtelekeza mama kijacho kwa sababu ndogo kama hizo, mwanamke anapokuwa mjamzito wanakuwaga na mabadiliko ya mwili na tabia.

tabia ya ulaji, utashangaa anakula tembele, maembe mabichi, udongo, hapo tu huoni ni tofauti?

sasa mahusiano na maelewano yake na wewe lazima yatikisike, ana wasiwasi kutokana na hali yake labda unaweza msaliti. lakini kwa mimba ya miezi hiyo mitano inabidi usex naye kwanza wengine wanapenda kweli, na wengine sio kivile.
mimi naona wewe ndio tatizo, kama sio tatizo HEBU TUAMBIE ULISEX NAYE LINI MARA YA MWISHO?
 
Mkuu vumilia mbna me nakula mke wa mtu mtarajiwa kila siku an, ile mimba inanipenda balaa hta sa10 usku akimiss anakuja freshy.
 
Wakuu salam

Ni hivi, huyu binti nimekuwa nae kwenye mahusiano nilipokuwa chuoni, yeye pia akiwa chuo, makubaliano yetu ilikuwa ni kuja kufanya maisha pamoja, nikimaanisha kuoana, hivyo basi nililenga angalau kuwepo na utangulizi wa mimba tu ndio mengine yaendelee, maana siko tayari kuishi na mtu ambaye sitaweza kutengeneza nae familia,kunipatia watoto, kwa maana madada wengi siku hizi wanachezea vizazi wanatoa mimba sana sipendi nimuoe halafu ndio nigundue kwamba hawezi nipatia watoto na nimeshamuoa.

Nikazungumza nae tukapanga kuwa mwezi wa tisa baada ya chuo utaratibu wa mimba ufanyike, baada ya hapo nimtambulishe nyumbani kama mchumba na taratibu nyingine ziendelee, ila katika kufanya mapenzi mimba ikashika mwezi wa 5 akaniomba tuitoe ili mwezi wa tisa ubaki palepale, nikakatalia kabisa, alilazimisha sana, ikabidi nimtafutie watu wa kumshauri asitoe, basi ikawa usumbufu hivyo tukitofautiana kidogo anasema tuachane, siku moja alipiga simu akakuta iko busy akasema ninamsaliti japo nilimueleza kuwa si kweli nilikuwa naongea na mzazi, hakutaka anisikilize alisema mahusiano yaishe nisimtafute wala kumsumbua na wala mimba nisiiulizie, na wala nisishiriki chochote ataamua atakalo, ilikuwa kipindi cha mitihani nikatuliza akili yangu nikafanya mitihani yangu muda kama wa wiki tatu, akanitangulia kumaliza mitihani, akaenda nyumbani kwao, hapo mimba ikiwa na miezi minne, akaenda nyumbani, nilipomaliza mtihani nikamtafuta akasema amepata mtu wa kuilea mimba hivyo nisimsumbue, mimi hawezi kunitambulisha kama baba wa mtoto maana hatuendani, akaniblock kote sms, calls,whatsapp nikawa simpati!

Baada ya week mbili kupita, nikaona kanitoa block kote akanisms anaumwa sana na maji yanamtoka ukeni hajui ni ya nini, basi ikabidi nimchukue tu nimpeleke hospital kwanza atibiwe na kucheck afya ya mtoto kwenye ultrasound, mtoto alikuwa salama yeye alikuwa anasumbuliwa na homa, alipopona akaniambia kuwa anaomba kuwa nimsaidie pesa ya mahitaji ale anachojisikia, maana vyakula havipandi vya nyumbani, anashinda njaa muda mrefu, nimnunulie na nguo pana za kulelea ujauzito, nikamuuliza lakini si ulisema una mtu anayekulea na ujauzito, yuko wapi hadi ukose vyote hivyo, akasema ilikuwa si kweli yale maneno, nikapotezea hilo jambo nikamtimizia alilohitaji, hapo mimba ina miezi mitano na nyumbani kwao hawafahamu...nikamwambia asijali nitafanya utaratibu kuongea na wazee ili tuje pale nyumbani nifahamike kwanza, ndio awaambie ana mimba yangu ili asigombezwe na kulaumiwa sana...akasema kama sitafanikiwa kwenda mimi kwao ili nyumbani aruhusiwe kuja kujifungulia nyumbani kwetu, ataondoka aende mbali, akajifungulie mbali mkoa mwingine ambapo rafiki yake amepanga getto huko, nikamwambia haitashindikana atakuja aje kujifungulia nyumbani, huko sitaki aende ni mbali ya uangalizi wangu kwa mtoto.

Nikawaambia wazazi kuwa nina mchumba nahitaji tuanze taratibu za kwenda kutoa kishika uchumba, ili aweze kuruhusiwa kutoka kule aje kujifungua huku, maana yeye alisema kujifungulia nyumbani ni aibu hawezi, wazazi wakakubali tukapanga tarehe (Mwisho wa Mwezi huu wa 10). Mimi na yeye mahusiano yakaendelea kama kawaida hivyo namjali nampa anachohitaji, clinic nampeleka, ikafikia mahali akasema anahitaji nimsaidie mtaji afanye biashara ndogo ndogo, nikampa, nikamnunulia simu mpya..yaani kwa kifupi nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kutimiza mahitaji yake.

Jumamosi iliyopita nilikuwa kwenye ibada mida ya jioni, akapiga simu sikupokea, nikamsms kwamba nipo kwenye ibada siwezi ongea, akatuma sms kwamba si kweli, nafanya drama, nilivyomaliza nikamcheck nikaongea nae ila hakuwa anajibu vzuri siku nzima ya jumapili haikuwa nzuri, Jumatatu ya juzi ilipaswa tuamkie kwenda clinic, akakataa kwenda, nilikasirika nikamwambia "Una Maamuzi Ya Kipumbavu" akajibu Kama unataka kwenda, Kusanya vichangudoa vyako uende navyo" basi akaanza kusema kuwa namdharau na kumtukana, simthamini na hiyo mimba anataka aitoe tu maana ananiona ni mtu nisiyemjali na kumuheshimu, kwahiyo tuachane na wala nisiulizie chochote kuhusu mimba maana ameshasema tuachane, na hata mtoto nisiulizie, kwetu pia hawezi kuja aje aishie kuwa housegirl,kama kulea anaweza kulea mwenyewe bila kunishirikisha mimi lolote, na hata nikitaka pesa zangu zote nilizompa arudishe yupo tayari, nikamwambia kaa nazo...kuhusu suala la mimba sijajua atafanya nini akiamue kuzaa na azae, akiamua kutoa na atoe, nimefika uwezo maximum wa kumhandle, potelea mbali, mimba ina miezi mitano sasa.

I do not care anymore.

Ndio nimeamua hivyo wakuu, au mnasemaje.
Pole sana mkuu.
Huyo girl friend wako ana umri gani?
She seems to be highly immature.
 
Still you're not matured enough!!!

Suburi kwanza upevuke kiakili, ndio upalamie hayo mambo. Unless lazima uchemke kijana.......mahusiano ya kimapenzi sio ngono tu!!

Ila maadam ushafanya kosa, no way.....just jaribu kuielewa hali haliyokuwa nayo huyo binti. Hayo mahasira yako ya kipuuzi puuzi, yaweke pembeni kwanza.....fight maisha ya huyo binti na mwanao aliyopo tumboni.
Mkuu huwezi kuamini nimevumilia mengi na hapo nimelist machache sana kupunguza urefu wa uzi, nimemvumilia mno.

Huyu mwanamke alifikia mahali pa kunitukana mimi shoga msenge nk...ila nimemvumilia.

Sio mbaya kwa maana ni mtazamo wako
 
Hana adabu tu hakuna cha kusumbuliwa na mimba.

Umejitahidi uvumilivu....kwasababu u mvumilivu na waswahili husema mvumilivu hula mbivu vumilia mzee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom