Hivi Kanisa la Askofu Gwajima ni Kanisa kweli?

KANISA LA UKWELI LIKOJE,NA LA UONGO LIKOJE,FAFANUA TUELEWE!
Kusuhudia uongo ni sifa kuu ya Ibilisi.
Sasa
"Askofu" Gwajima alisema atafufua misukule
"Askofu" Gwajima alisema atanunua treni cash, cash
"Askofu" Gwajima alisema atapeleka watu Marekani
"Askofu" Gwajima alimleta mzee anayesema ni baba yake na mdogo wake, mdogo wake anasema baba yake alifariki!

"Askofu" Gwajima hajawahi kuhubiri Neno la Mungu, upendo, kujishusha, yeye analiamsha dude-sijui ni mapepo gani!
N watu wenye akili zilotekwa na Ibilisi mnamshangilia tu.
 
Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.

Ni mahali pa kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka.

Sasa hili kanisa la mipasho la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa Kanisa?

Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.

Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchochezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.

Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
Maswali ya WARUMI haya, huwa wanajihisi wao wapo sahihi sana tofauti na wengine.
 
Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.

Ni mahali pa kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka.
Sasa nyie mnaojiona mko tofauti na kanisa la Gwijama, mmefanikiwa kiasi gani katika kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka?

Unaenda kanisani wakati mtu mliekaa benchi moja ndio mlitukanana barabarani mlipokwaruzana magari wakati mnaenda kanisani. Unapendaje watu ambao asilimia zaidi ya 90% ndani ya kanisa huwafahamu? Huo ndio upendo Yesu aliesema wa kuweza kufa kwa ajili ya muumini mwenzako mlio nao tofauti na wa kanisa la Gwijama?

Mie naona wote na makanisa yenu ni waongo tu, mnasubiri kuhukumiwa tu
 
Kwa hili umepotoka.

Nabii Eliya alifufua, Elisha alifufua, Yesu alifufua, mtume Paulo alifufua, nk..
Wale walikuwa manabii kweli,
Kina Gwajima Ni watoza ushuru,Tena ni jambo la aibu kumwita eti Asikofu.
 
Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.

Ni mahali pa kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka.

Sasa hili kanisa la mipasho la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa Kanisa?

Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.

Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchochezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.

Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
Amka wewe Mtanzania wa kawaida ukisoma Biblia vizuri utagundua huwezi kutenganisha ukristo na siasa .Kanisa ndiyo limemfikisha hapo mpaka mkamjua na mkampigia kura .
 
Sasa nyie mnaojiona mko tofauti na kanisa la Gwijama, mmefanikiwa kiasi gani katika kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka?

Unaenda kanisani wakati mtu mliekaa benchi moja ndio mlitukanana barabarani mlipokwaruzana magari wakati mnaenda kanisani. Unapendaje watu ambao asilimia zaidi ya 90% ndani ya kanisa huwafahamu? Huo ndio upendo Yesu aliesema wa kuweza kufa kwa ajili ya muumini mwenzako mlio nao tofauti na wa kanisa la Gwijama?

Mie naona wote na makanisa yenu ni waongo tu, mnasubiri kuhukumiwa tu
Upendo,amani,unyenyekevu , imani na kuokoka ndivyo vitu vinatutofautisha binadamu na wanyama.
Hizo ndiyo positive attributes ambazo japo ni ngumu, kila binadamu anajaribi kuzifikia siku kwa siku.
Mtu muongo kila siku kama Askofu feki Gwajima, hana tofauti na fisi wanoweza kukunyofoa mkono ungali hai.
 
Amka wewe Mtanzania wa kawaida ukisoma Biblia vizuri utagundua huwezi kutenganisha ukristo na siasa .Kanisa ndiyo limemfikisha hapo mpaka mkamjua na mkampigia kura .
Gwajima kaunganisha imani na siasa, na amepanda farasi wote wawli!
Kuchanika msamba a matter of time!
 
Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.

Ni mahali pa kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka.

Sasa hili kanisa la mipasho la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa Kanisa?

Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.

Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchochezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.

Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
Kanisa lenye sifa ya kuitwa kanisa ni Kanisa Katoliki pekee! Kanisa la kweli lina alama 4
1) Moja
2) Takatifu
3) La kiulimwengu ( Katoliki)
4) La Mitume

Wengine ni Wakristo wenzetu kiimani sababu ya imani kwa Kristo na ukweli mwingine (some truth) lakini ukweli mwingi utaupata Kanisa Katoliki. Huu ndio ukweli ambao ni mchungu mno kwa wasioupenda.
 
Uharo mtupu.
 
The diversity of core religions are intensifying each day. The travesty is all are actually reading and/or preaching from one Holy Book only but the words or meanings are 'twisted' around and portrayed with additional innuendos.

Somehow and as expected there are always 'opportunists' out there..
 
Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.

Ni mahali pa kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka.

Sasa hili kanisa la mipasho la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa Kanisa?

Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.

Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchochezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.

Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
Kanisa la kweli ni lipi
 
nanyie onesheni research inayoonesha after 5 years waliochanja hawatapata matatizo ni vema tujibu hoja kwa hoja
Mwenye kutoa tuhuma ndiye mwenye wajibu wa kuprove tuhuma zake hivyo gwajima ni wajibu wake kuprove, kwanza kwa mini iwe baada ya miaka mitano?
 
Back
Top Bottom