Jamani waungwana kwanza mambo vipi? mimi ni mgeni ndo kwanza nijunga mtandaoni kwa wana JF.Naomba kuuliza ngd zanguni hivi jk alialikwa mkutanoni mkoani Ruvuma au alitumia mabavu yake a.k.a ujeshi kuvamia mkutano wa walimu wetu?
Du!Dar Leo limemnukuu kiongozi mmoja wa tukta akisema alialikwa "kama taasisi".