Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,840
We futa kauli!! Mie sijawahi gombea mume, huwa nagombaniwa tu!!
Mume ninaye wangu peke yangu, husband wa dunia Manga ML, huyo ndio shemeji yako wa ukweli na uhakika.
My dear inabidi uamue busara zako muhimu.....
Ligi???? mimi nakuonea huruma wewe maana soon utamwagwa
mmmhhhh....
Mtagombeanaje mume?mnawapa kichwa waacheni wote mtafute wengine
Wa kwanza na wa mwisho
Weee mi nimgombee nani eti? Za kwao za almasi au?
Ninavyokupenda wewe mwanaume sijui hata nielezeje!!
Ongea na wadogo zako Mie nashangaa leo wananishambulia.......
Mtani Darling shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!............
Haya nimefuta tatizo hunipendi siku hizi hata shem wangu unashindwa kunitambulisha vibaya hivyo
Simwagiki miye ujue.........tuliachwa hadharani na tukarudishwa tena sembuse mbele yenu nyie.....aku miye siyo mchoyo namuuliza tu babaEli nioshee mwiko wangu nataka kutumia maisha yanaenda.......
mi chichemi
Hajakosea hapo mkuu anajua mbona
mi nimemuita tu