Hivi jamani kwanini wanawake hamna mapenzi ya kweli?

hapana inawezekana anachokuwa anachati akimaanishi kwa vitendo,.naomba nikuulize swali ww kwenye facebook hauja add girls?
 
Pole sana Master kwa yaliyokukuta. Hakuna kitu kibaya na kinachoumiza kama kumuamini mtu akakusaliti. Ila hawa dada zetu kwa hili wamezidi sana.
 
ok ungekuwa upo facebook wala usinge complicate kiivyo ila usimwache demu wako! na kama unampenda mrekebishe tu!
 
Pole sana Master kwa yaliyokukuta. Hakuna kitu kibaya na kinachoumiza kama kumuamini mtu akakusaliti. Ila hawa dada zetu kwa hili wamezidi sana.

Bora hata wewe umeliona mkuu. maana hii sio mara ya kwanza
 
Mkuu pole sana kw ahayo
Japo sio haki kuingilia privacy ya mtu ila kama alikuwa anacheat kwako kwa kweli ni mbaya sana
la muhimu tulia uone kile cha busara unachoweza kufanya maana ukisema umchunguze sana kuku kwa kweli utaambulia mengi sana kwa hawa viumbe
 
Rocky malizia kwa kusema hawa viumbe wazuri wanao kuwezesha ukaishi kwa raha duniani!

Kweli ni viumbe wazuri wanatufanya tuishi kwa raha duniani ila wana taabu sana
Ila na yeye ndio lililompata kujifanya anajua sana ndo matokeo yake hayo kakumbana na mambo ya ajabu huku alokoenda kuchunguza
 
Mkuu nadhani haujanielewa. mimi sikuwa na mpango wa kumchunguza na tokea tuanze uhusiano hadi sasa sijawahi kushika simu yake hata siku moja. lakini niliamua kufanya hivyo baada ya yeye kujaribu kunidanganya tokea mwanzo ndipo nilipohisi kuwa pengine kuna mambo ambayo anayafanya pembeni yangu ambayo mimi siyafahamu. Ndio maana nikaamua kufanya uchunguzi ili kupata ukweli nisije kujikuta naumia baadae au kuweka kinyongo kwa kitu nisichokuwa na uhakika nacho
 
kwa hiyo kakosea kuchunguza?
 
Nimekupata sana mkuu na naelewa dhamira yako ilikuwa njema kutokana na matukio na ulikuwa na haki ya kufanya hivyo baada ya kuona mambo hayaendi the way ulivyokuwa unataka
Ila muhimu ushajua tatizo liko wapi ni jukumu lako kujipanga na kusonga mbele kufanya mengine ambayo yatakusahaulisha machungu ya hilo
Maisha sio mwisho hapo na una nafasi ya kumpata mtu mwingine atakayekuwa na mapenzi ya kweli
 
Nimekuelewa mkuu. Nashukuru kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom