inawezekana
Member
- Jul 17, 2009
- 29
- 3
Hapa mimi nilitegemea tu, jina zuri kama hilo huwezi kuwa unapenda ugali.
part 2. VINYWAJI
Kwenye unywaji, je kuna vinywaji vya kike na vya kiume? Mara nyingi utaona wanawake wakiagiziwa wine hata pale hawajaomba kinywaji hicho.Hata hivyo wine najua zinaywewa na wote, kadhalika beer. Wanawake wengi sasa hupenda kunywa gin and tonic, soda water n.k kama namna ya kuangalia uzito usiongozeke.
Nini maoni yako kuhusu unywaji? Na je kwa wale wenye uzoefu na vinywaji vya asili. kuna pombe za wanawake na za wanaume? TUJUZENI
MTM nilijua tu lazima utie neno lol.Yaani nilihisi tu kule mwanzo kwamba wewe mchokozi, sijui namba kumi itakuwaje
Tukija upande wa vinywaji, again its someones choice; lakini mara nyingi kuna influence kubwa sana ya partner katika chaguzi za vinywaji...
again, sidhani kama kuna specific drink ya akina mama au akina baba ila society imeviangalia vinywaji kwa mtazamo wa feminine drinks kama Redds, Wines, Amarula types, colourful cocktails with creams and fresh juices wakati beer, konyagi, whysky, brandy, cognac and the likes zinaonekana kama masculine drinks zifananzo zaidi na wanaume
binafsi hainisumbui sana ila napata presha nikiona mwanadada anagida konyagi au whisky dry!!
ha haaaaaaaaaaa, Burn, kumbe vyakula vinaenda kwa majina? sipati picha wengine hapa tutakuwa na vyakula gani
Absolutely na ndiyo hitimisho.Sasa tunazungumzia vinywaji... any ideas?This is just BS. Hakuna chakula cha kike wala cha kiume. Kama kipo basi hiyo ni perception ya mtu mwenyewe na insecurities zake. Other than that I think people are going too far in trying to find unnecessary differences.
MAVAZI:
Kuna midume mingine inapenda kuvaa heleni masikioni, sasa sijui tuieleweje. Bora walamba ice cream. Hebu angalia kama jamaa katika picha hii hapa chini:
Absolutely na ndiyo hitimisho.Sasa tunazungumzia vinywaji... any ideas?
mavazi:
kuna midume mingine inapenda kuvaa heleni masikioni, sasa sijui tuieleweje. Bora walamba ice cream. Hebu angalia kama jamaa katika picha hii hapa chini:
Mkuu asante sana kwa kuleta dimension nyingine kwenye PART 1 ya mada -VYAKULA.
Kwanini unadhani wanawake wanapenda kula vyakula vile ambavyo huwa hawavipiki wenyewe? Nadhani assumption hapa ni kuwa mnapotoka kula out ndiyo choice waifanyayo wanawake. Je wewe kwa mfano, ukitoka kula restaurant, unapendelea zaidi kula vyakula gani/ ni vile ulivyovizoea au vile ambavyo mara nyingi haviko kwenye menu nyumbani?
Hata vinywaji sidhani kama kuna vya kike na vya kume ingawa mara nyingi, kwa mfano, huwezi ukakuta mwanamme anakunywa Daiquiries hadharani.
Kwa hiyo kwangu mimi mtu hapotezi jinsia yake kutokana na vile anavyokula na kunywa.
Kwa hiyo kwangu mimi mtu hapotezi jinsia yake kutokana na vile anavyokula na kunywa.