Hivi ina madhara gani kiafya hii kitu

Huku ni wapi Memo? Nipe ramani jinsi ya kufika tafadhali!!!!
panda bajaji hapo kwa mromboo,
mwambie akulete barabara ya 8 nyumba ya 4 kulia.
mkifika mwambie apige honi.
 
sitaki majungu,napenda awe wangu peke yangu,ku share na mtu nooooooooo
kwa hiyo hapa maana yake ni sharing is not caring.
Nimekupata Ki-sugar, halafu wewe umekuwa very expensive siku hizi, kilo moja tunakuuza kwa 1.5 USD.
:A S-heart-2:
 
Baelezee baelewe bana!!!
mi mzima kabisa, hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na uwezo wa tukutuku yangu kukufikia.
:A S-heart-2::A S-heart-2:

good night honey,i am going to sleep now.i love youuuuuuuuuuu,lala salama honey.nikuone kwenye njozi zangu.see you tomorrow
 
:A S-heart-2::A S-heart-2:me too sweetheart!!
Ukiniona kwenye njozi zako you can use me to facilitate hizo njozi, halafu zikitoka kwako zihamie kwangu!:A S-heart-2:
 
Safi sana faida za technology...
kama wame oana sioni shida..

My dear ushauri wangu kwako usijaribu
kumbuka kwenye video came
Mtu anaweza kupiga picha bila weye kujua
unaweza ukute picha zako za sehemu nyeti
Kwenye net ukajivunjia heshima..

Kama uko mwenye na unataka kujaribu kitu
kama hicho jaribu sex phone, au kitu kama skype
Lakini usitumie video..
 
Good point

Hivi ukiona nyeti kwenye net utazijua kuwa ni zako?
au mpaka uone na kitu cha kukutambulisha?

Halafu hapo kwenye kupiga picha, hivi mwenzi wako anaweza kufanya hiyo kitu?
 
Mmhhh
Unajua dunia hii usinwamini sana mtu
Especially kama sio. Mke/mume wako
Saa mnapeana uroda hamna neno
lakini mambo yakichachuka
Aweke nyeto yako tu kwenye net imsaidie nini
ataweke na sura yako ili uumbuke
Ndo hapo unaingia kule kwa wakubwa
Unatoka na ugonjwa wa moyo

Yap kwenye web came very easy mtu kuchukua
Snaps..

Better be safe than sorry..
 
Jamaa yangu yuko nje ya nchi na mkewe yuko tz. Sasa anasema ati wanatumia webcam kufanya mapenzi. Wanakuwa wanaongea na kuonyeshana sehemu za siri huku wakizisugua hadi kila mmoja anakojoa. Halafu cha ajabu wanaweza kurudia hadi mara tatu kitu ambacho hawakuweza katika physical contact. Naomba tumshauri huyu jamaa ili kama hakuna madhara na mimi nimtafute mmoja hapa jf niwe nafanya naye hii kitu mana niko alone. Asanteni wahenga

hao wanajichua tu huku wakitazama picha zao na hawafanyi mapenzi. madhara yanayoweza kuwapata ni madhara yaleyale yawapatao wote waoajichua ambayo ni ya kisaikolojia. kwa mujibu wa maelezo yako, tayari wameishapata madhara. umesema wakiwa pamoja kimwili hawafanyi kufikia mara tatu ila kwa huo mtindo wao wa kujichua wanafika mara hizo. ina maana kisaikolojia wanapenda picha zao kuliko jinsi wanavyopendana wenyewe. hii nayo ni psycholojical disorder.

kimwili wanajisababishia usugu kwenye nyeti zao, yaani kwa kuzisugua na mikono ambyo si natural kwa kazi hiyo, wanasababisha zinakuwa sugu na less sensitive, hivyo siku wakikutana kimwili, wataona hawafikishani walipotaka na watapendelea kurudia "kazi za mikono" na si ajabu wakajikuta wameanzisha life style mpya ya kujichua huku wakiwa chumbani kwao wawili kwa njia ya asili ya mapenzi itashindwa kuwatosheleza kutokana na usugu waliojijengea kupitia kujichua kwa webcam

wasipokuwa waangalifu, wanaweza hata kuharibikiwa kikazi, kwani unaweza kukuta hata baada ya mume kurudi, anatumia muda wa kazi ofisini kujichua kwa kuwasiliana na mkewe kupitia webcam licha ya kuwa wanalala chumba kimoja kila siku. siku wakifumwa hakika shigongo atauza sana magazeti. siku hizi kuna watu wanafanya mapenzi na watu lakini wanafika orgasm kwa kuvuta kumbukumbu ya picha fulani na sio kwa mhemko wanaoendelea kuu-experience kwenye tendo lao.

mi nawashauri wapunguze tabia hiyo na ifikie siku waache kabisa. kwa hakika hao wanajichua na siku wakikutana kimwili kutakuwa na tofauti kubwa kati ya real experience na expected experience na itaishia dissatisfaction, hivyo kuna uwezekano mkubwa huyo aliyesafiri akirudi hatampenda mkewe kama zamani.

mbarikiwe wapendwa

Glory to God
 
Well said..
 
Jamaa yangu yuko nje ya nchi na mkewe yuko tz. Sasa anasema ati wanatumia webcam kufanya mapenzi. Wanakuwa wanaongea na kuonyeshana sehemu za siri huku wakizisugua hadi kila mmoja anakojoa. Halafu cha ajabu wanaweza kurudia hadi mara tatu kitu ambacho hawakuweza katika physical contact. Naomba tumshauri huyu jamaa ili kama hakuna madhara na mimi nimtafute mmoja hapa jf niwe nafanya naye hii kitu mana niko alone. Asanteni wahenga
hadithi za kusadikika.
 
mashuka tu mi nayaonea huruma huko ni kujichua na wategemee madhara kama kupoteza mvuto kwa mwenza wako. navyojua mimi kijichua ni kutoa manii kwa njia mbadara ya via vya uzaz
 
Jamaa yangu yuko nje ya nchi na mkewe yuko tz. Sasa anasema ati wanatumia webcam kufanya mapenzi. Wanakuwa wanaongea na kuonyeshana sehemu za siri huku wakizisugua hadi kila mmoja anakojoa. Halafu cha ajabu wanaweza kurudia hadi mara tatu kitu ambacho hawakuweza katika physical contact. Naomba tumshauri huyu jamaa ili kama hakuna madhara na mimi nimtafute mmoja hapa jf niwe nafanya naye hii kitu mana niko alone. Asanteni wahenga

No way,no way,no way,no way..........mapenzi ya jinsia moja,mapenzi kinyume na maumbile,mapenzi via mtandao,mapenzi na watoto wadogo,kujichua n.k ni vitu vinavyosababisha kuchoka mapenzi na maisha kwa ujumla mapema sana oltho ni vitamu na vizuri for a moment......guyz jamaa acheki njia ya kuja kukaa na mkewe karibu....suppose anakaa huko nje for 10 yrs will that be the way????think twice and for the long run:angry:
 
Back
Top Bottom