Hivi ina madhara gani kiafya hii kitu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ina madhara gani kiafya hii kitu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by vegule, Mar 17, 2011.

 1. v

  vegule Senior Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa yangu yuko nje ya nchi na mkewe yuko tz. Sasa anasema ati wanatumia webcam kufanya mapenzi. Wanakuwa wanaongea na kuonyeshana sehemu za siri huku wakizisugua hadi kila mmoja anakojoa. Halafu cha ajabu wanaweza kurudia hadi mara tatu kitu ambacho hawakuweza katika physical contact. Naomba tumshauri huyu jamaa ili kama hakuna madhara na mimi nimtafute mmoja hapa jf niwe nafanya naye hii kitu mana niko alone. Asanteni wahenga
   
 2. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Very possible. Acha web can watu huwa wana sex kwemye simu wala hamuonani, but there must be a real love between the two. Yani unamvuta mwenzanko wenye hisia mpaka anakuja then the VOICE ndio ina play roll hapa. yaani ukimsikia mwenzako anavyolalamika lazima upige bao mpenzi. BUT THERE MUST BE A REAL LOVE
   
 3. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili jukwaa gani vile............................
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umtafute mmoja JF ehh?Kila la kheri kwa hilo!Nwyz bora wanachofanya kuliko kutoka nje ya uhusiano wao!ALAFU HUYO MWANAUME ANA TABIA MBAYA SANA!KISA CHA KUKUELEZA HAYO YOTE?HANA HESHIMA KWA MKEWE HATA KIDOGO!
   
 5. v

  vegule Senior Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani hapo umenena mkuu. Mimi hadi nimeadmire their relationship. Hawana haja ya kuwa pamoja physically coz they are always together. Na hawana majaribu ya kwenda nje ya ndoa. I really love this, if i get one
   
 6. v

  vegule Senior Member

  #6
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I DONT BUY YOUR WORDS!! I admire their stuff and thank him for disclosing it to me.
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani nimekwambia nakuuzia?It was merely an opinion...not a suggestion!
   
 8. v

  vegule Senior Member

  #8
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i dont care what it was!!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Did I ask you to??Nimeandika nilichotaka mimi...so get use to it!Kujali au kutojali kwako hakunisaidii hata chembe!Na kama hukua tayari kuona maoni usiyopenda usingeanzisha thread hapa!
   
 10. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #10
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160

  wengine wanaona aibu kusema kuwa ni wahusikana wanaomba msaada
   
 11. k

  kisukari JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  haya mambo yapo,not enough kamaliza yote.mimi ninae wangu humuhumu jf tunamaliza yote,hallo sweetie mzima lakini
   
 12. LD

  LD JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmmmmmmmmh!!!!!
   
 13. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hulali?? unaonaje tuanzishe mie na wewe lol :lol::lol::lol::lol:
   
 14. LD

  LD JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha!!!! MR mi wa kike ujue!!! Kwani ni we wa kiume???
   
 15. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Baelezee baelewe bana!!!
  mi mzima kabisa, hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na uwezo wa tukutuku yangu kukufikia.
  :A S-heart-2::A S-heart-2:
   
 16. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  pamoja na kwamba naona unapiga kikombe kwenye avatar,
  Njoo huku elodii mimi ni wakiume ujue!!
   
 17. k

  kisukari JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  mmmh,usimwage mtama kwenye kuku wengi.
   
 18. LD

  LD JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huku ni wapi Memo? Nipe ramani jinsi ya kufika tafadhali!!!!
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unaogopa nini?Au yeye ni nyumba ndogo?
   
 20. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahahahaaa!!!
  :A S-heart-2::poa
   
Loading...