Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,135
- 48,363
Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
😱😱😱😱 CCM ni laana. Na watanzania tumeshasahau. Project manager wakejuzi juzi alikuwa anajigamba kufanyia ng'ombe mazishi kama binadamuNani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi?
Kuna jamaa alinikeshesha hapa na kesho yake akarudi tena... Leo wapo kimyaaa!!Watetezi wake tuliwaambia miaka michache mbele tutakuja kuwakumbusha.
Billionea Bashe anachekea chooni!
Nadhani ni yule sunk cost fallacy sijui sa hivi anatumia ID gani, na mi nishawahi kukesha nae hapa 😅Kuna jamaa alinikeshesha hapa na kesho yake akarudi tena... Leo wapo kimyaaa!!
Kabisa... Ndiye yeye.Nadhani ni yule sunk cost fallacy sijui sa hivi anatumia ID gani, na mi nishawahi kukesha nae hapa 😅
BBT sio km ile inaitwa Vanilla sijui nini ingiza Million 10 upate Million 100 ambayo kuna mtu anaitwa Manguruwe ana kesi hio inamkabiri au sio hio?Kuna jamaa alinikeshesha hapa na kesho yake akarudi tena... Leo wapo kimyaaa!!
Ulianza vizuri kivipi... Ule mradi ulianza hovyo Sana kama miradi yote ya kimagumashi ilivyo.Ule mradi ulikuwa umeanza vizuri...
Ana ng'ombe wa maziwa over 5,000Watetezi wake tuliwaambia miaka michache mbele tutakuja kuwakumbusha.
Billionea Bashe anachekea chooni!
BBT ilikuwa ni gemu ya kipigaji iliyoendeshwa na mafioso wa bongo.BBT sio km ile inaitwa Vanilla sijui nini ingiza Million 10 upate Million 100 ambayo kuna mtu anaitwa Manguruwe ana kesi hio inamkabiri au sio hio?
Hili jambo ni la kweli.....halafu wakatili mnoo.
Kuna mtu niliwahi kumwambia pia akanipinga vibaya sana, sasa hivi nikimkumbusha hataki hata kusikia habari za BBTBBT ilikuwa ni gemu ya kipigaji iliyoendeshwa na mafioso wa bongo.
💯Ana ng'ombe wa maziwa over 5,000
Hakuna jinsi utasikia tena kuhusu BBT... Kesho yetu ipo tena mikononi mwao.😀😄Kuna mtu niliwahi kumwambia pia akanipinga vibaya sana, sasa hivi nikimkumbusha hataki hata kusikia habari za BBT
😄😀😀😆Na Maovaroli Ya Maafisa Ugani...
Wao wanahisi sie tuna chuki na serikali, hapana tunaona vibaya kodi zetu zinavyotumika..Nadhani ni yule sunk cost fallacy sijui sa hivi anatumia ID gani, na mi nishawahi kukesha nae hapa 😅
Wanatakiwa kuelewa wakosoaji hawana nia mbaya, Tunaonea huruma kodi zetu tu.