Excel my bestfriend naomba mwongozo wa video ya vanessa mdee "closer" imburudishe mleta uzi na wachangiaji!..hahah
Kila nikimuona kwenye video zake huyu binti hali inabadilika napata hisia za kimapenzi tu na hisia za kuoa zaja ghafla, AU DAMU ZETU ZINAENDANA? najipa moyo ipo siku nita mpata tu tena nita muonga kamshahara kangu kote ka TGTs D2...

mamii ungekuwa unani-mention basi! duh!! sijui nina bahati gani na wewe? nimelifuma tu hewani jina langu...
ok... ngoja nimpe maumivu zaidi!
Mbona mi sijawahi kutamani mtu nikimuona kwa Tv au na matatizo!!!
Una matatizo makubwa na unahitaji matibabu ya haraka.
Kila nikimuona kwenye video zake huyu binti hali inabadilika napata hisia za kimapenzi tu na hisia za kuoa zaja ghafla, AU DAMU ZETU ZINAENDANA? najipa moyo ipo siku nita mpata tu tena nita muonga kamshahara kangu kote ka TGTs D2...
Tyta naomba picha ya haka kandele vannesa.
Umekosea mkuu!!! Tyta kuna jamaa anaomba mwongozo huku!!!
Kila nikimuona kwenye video zake huyu binti hali inabadilika napata hisia za kimapenzi tu na hisia za kuoa zaja ghafla, AU DAMU ZETU ZINAENDANA? najipa moyo ipo siku nita mpata tu tena nita muonga kamshahara kangu kote ka TGTs D2...
Mbona mi sijawahi kutamani mtu nikimuona kwa Tv au na matatizo!!!
Kila nikimuona kwenye video zake huyu binti hali inabadilika napata hisia za kimapenzi tu na hisia za kuoa zaja ghafla, AU DAMU ZETU ZINAENDANA? najipa moyo ipo siku nita mpata tu tena nita muonga kamshahara kangu kote ka TGTs D2...
HUJAWAHI WAONA HAWA...??LAZIMA UWATAMANI..
![]()
![]()