Hivi huyu Vannesa Mdee ana nini na mimi?

Hivi huyu Vannesa Mdee ana nini na mimi?

Utamuweza? Obama Ana M-follow kwenye twitter Sasa amezidi kuringa, naakushauri ufungue acc twitter kwa jina la Cameron kisha um follow, baadae uanze kum DM ataingia tu na utamaliza shida zako.

Dizain mtoto vanesa kma haja nielewa hivi inaonekana kuna njemba ya maana ina mpiga mahela ya maana,ngoja nijipange next time naenda kwa style nyingine lazma kita eleweka tu kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa hauja anza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom