Hivi huyu mwanajeshi ana umuhimu gani?

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,513
11,276
Siamini kabisa kwamba yupo kwa sababu za kiusalama.
Na kama yupo kwa sababu hizo basi alisha-prove failure
Rejea tukio la Janngwani.
1.jpg
Hapa kabebeshwa mafaili kabisa, sasa likitokea la kutokea atalinda mafaili au atafanya kumuokoa Mkwere?
Slim Abada Slim akiwa na Rais Kikwete.jpg
kikwete_mbeya.jpg
Hapa tena, marais wengine wote hawana walinzi nyuma yao, Mkwere tu...
5.jpg
View attachment 23714
Hapa tumuweke kwenye kundi la viongozi au?
Manake amejumuika kabisa na viongozi wa kitaifa na wame-form mstari kabisa.
gal_48c0e54fd59fc.jpg
Hapa sijui anatekeleza Protocala au analinda?
JakayaMrishoKikwete1.jpg
Hapa sijui analinda nini..
Besides, ni mfupi zaidi ya Object yake, kiasi kwamba haoni mbele ya JK kuna nini. Sasa hapo atamlindaje?
2.JPG
Inawezekana yupo kwa ajili ya kubeba mafail ya Mkwere?
Hayo mafaili yana uzito gani kiasi cha kumshinda Mkwere mwenyewe kubeba?
Au, tumtofautishe vipi Mkwere na mamwinyi. Kuna hata clip niliona jamaa akimrekebishia koti Mkwere wakati Mkwere akimwaga upupu wake kwa waandishi wa habari... Inakera!!!

Yaani kama ni utaratibu tu wameuweka, huyo jamaa anaharibu sana pozi..
 
kweli kabisa... hii ritual ya magwanda ya kijani haina umuhimu wowote. bora wangemvalisha suti ya kawaida ya kiraia kama ilivyo kwa walinzi wa viongozi wengine
 
kweli kabisa... hii ritual ya magwanda ya kijani haina umuhimu wowote. bora wangemvalisha suti ya kawaida ya kiraia kama ilivyo kwa walinzi wa viongozi wengine

Kweli mkuu, angalau mvuto ungekuwepo..
Halafu waweke watu wanaofanana na walinzi kweli, vinginevyo wanaidhalilisha hii fani..
Jamaa ana kitambi kuliko hata Mkwere!!!!!!!
 
Ignorance is not an individual's fault. Wana JF mliopitia JKT nisaidieni huenda nimesahau, lakini nakumbuka mojawapo ya masomo ya nadharia yaliyokuwa yakifundishwa ni pamoja na mambo ya Intelligence (usalama wa taifa). Uwepo wa huyo mjeshi ni ishara tu kwamba dola ipo na siyo kwamba ndiye anayetegemewa kwa kila kitu katika ulinzi halisi wa Mkuu wa Nchi. Wenyewe wapo na huwezi kuwajua kwa kuangalia hivyo wajameni. Penye ukweli tuwe wawazi, ingekuwa hivyo basi viongozi wengi wangekuwa wanarestishwa in peace shaghalabaghala tu. Hiyo ni taaluma ya aina yake tulione hilo.
 
Haya ndio matatizo ya kudesa ata mahali haitajiki ye atakariri anatakiwa awepo.
 
Mimi nasema si vema rais kubeba mafaili yeye mwenyewe kama ulivyopendekeza hapo juu ila pia huyo mpambe asiwe mbeba mafaili, awepo mtu mwingine.

Nimeona picha ya kwanza mpambe kama vile kasinzia, nadhani anachoka hivo ni vema wawe wanapokezana maana kama kila siku/mara namuona yeye tu katika upambe.
 
kazi yake si ulinzi,ni mpambe.ni mambo ya kiitifaki tu ambayo nadhani yapo zaidi (au yamebaki) Africa zaidi
 
Kweli mkuu, angalau mvuto ungekuwepo..
Halafu waweke watu wanaofanana na walinzi kweli, vinginevyo wanaidhalilisha hii fani..
Jamaa ana kitambi kuliko hata Mkwere!!!!!!!

Halafu mfupi...not handsome...yule wa Mkapa namkubali

songas1.301x200.JPG
 
Ana kazi ya kumlinda dhidi ya maadui ambao wanaweza kumdhuru rais,lakini si kumlinda dhidi ya magonjwa!!
 
Siamini kabisa kwamba yupo kwa sababu za kiusalama.
Na kama yupo kwa sababu hizo basi alisha-prove failure
Rejea tukio la Janngwani.
View attachment 23710
Hapa kabebeshwa mafaili kabisa, sasa likitokea la kutokea atalinda mafaili au atafanya kumuokoa Mkwere?
View attachment 23711
View attachment 23712
Hapa tena, marais wengine wote hawana walinzi nyuma yao, Mkwere tu...
View attachment 23713
View attachment 23714
Hapa tumuweke kwenye kundi la viongozi au?
Manake amejumuika kabisa na viongozi wa kitaifa na wame-form mstari kabisa.
View attachment 23715
Hapa sijui anatekeleza Protocala au analinda?
View attachment 23716
Hapa sijui analinda nini..
Besides, ni mfupi zaidi ya Object yake, kiasi kwamba haoni mbele ya JK kuna nini. Sasa hapo atamlindaje?
View attachment 23717
Inawezekana yupo kwa ajili ya kubeba mafail ya Mkwere?
Hayo mafaili yana uzito gani kiasi cha kumshinda Mkwere mwenyewe kubeba?
Au, tumtofautishe vipi Mkwere na mamwinyi. Kuna hata clip niliona jamaa akimrekebishia koti Mkwere wakati Mkwere akimwaga upupu wake kwa waandishi wa habari... Inakera!!!

Yaani kama ni utaratibu tu wameuweka, huyo jamaa anaharibu sana pozi..
Aisee unatisha kwa kufuatilia, nahisi na wewe ni mwanajeshi, au nimekosea?
 
Naombeni mnisaidie kidogo, hivi mvuto wa sura ndio unalinda au ni nini? maana naona kama tunajichanganya! Na Mh. Raia tangu lini anabeba mafaili jamani hebu tuwe wazi, hebu nenda pale polisi ushuhudie IGP na Makamishna wake wanavyofungliwa milango na kubebewa bag zao. Si polisi tu, wapo wengi tu, sasa kwa Rais si zaidi jamani, hebu tuwe realistic katika mambo mengine bwana
 
TANMO.....samahani sana inaelekea wewe mwenyewe au jamaa yako wa karibu alikuwa akiwania nafasi hiyo na kuikosa....matokeo yake mwamwangushia kejeli...? mlikuwa wapi 6 yrs ndo muone sasa....?
ENDELEA BABA TENA IKWEZEKANA BADILI NA SARE UVAE ZILE ZA YANGE YANGE...!
 
Naombeni mnisaidie kidogo, hivi mvuto wa sura ndio unalinda au ni nini? maana naona kama tunajichanganya! Na Mh. Raia tangu lini anabeba mafaili jamani hebu tuwe wazi, hebu nenda pale polisi ushuhudie IGP na Makamishna wake wanavyofungliwa milango na kubebewa bag zao. Si polisi tu, wapo wengi tu, sasa kwa Rais si zaidi jamani, hebu tuwe realistic katika mambo mengine bwana

Kufanywa na wengi hakuhalalishi tendo....hoja ni kuwa ana umuhimu gani? Ndio swali la mtoa thread.....tumjibu
 
Kufanywa na wengi hakuhalalishi tendo....hoja ni kuwa ana umuhimu gani? Ndio swali la mtoa thread.....tumjibu
(Mpagama) ametusaidia kujua umuhimu wake hapo
Ignorance is not an individual's fault. Wana JF mliopitia JKT nisaidieni huenda nimesahau, lakini nakumbuka mojawapo ya masomo ya nadharia yaliyokuwa yakifundishwa ni pamoja na mambo ya Intelligence (usalama wa taifa). Uwepo wa huyo mjeshi ni ishara tu kwamba dola ipo na siyo kwamba ndiye anayetegemewa kwa kila kitu katika ulinzi halisi wa Mkuu wa Nchi. Wenyewe wapo na huwezi kuwajua kwa kuangalia hivyo wajameni. Penye ukweli tuwe wawazi, ingekuwa hivyo basi viongozi wengi wangekuwa wanarestishwa in peace shaghalabaghala tu. Hiyo ni taaluma ya aina yake tulione hilo.<!-- google_ad_section_end -->
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom