Hivi huyu mwanajeshi ana umuhimu gani?

Hivi huyu mwanajeshi ana umuhimu gani?

lakini Mungu ni wa ajabu kweli, yaani akiamua kumpa mtu hata awe vipi anampa tu, ukiangalia picha hizi alafu ukaja kwenye 'reality', we acha tu!
 
Thread kama hii ilishaandikwa na kupatiwa jibu huko nyuma. Anyway tuelimishane tu, hiyo ni protokali ya kimataifa na wala huyo askari hahusiki na ulinzi wa moja kwa moja bali tu ni ishara kwamba miongoni mwa hadhira aliyopo wapo wenye kazi hiyo.
Pili huyu ni mpambe ambaye pamoja na mambo mengine anapaswakujua ni nini kiongozi anachotaka au kupendelea, kuzisoma dalili za upungufu wa usalama na kuwashauri wasaidizi wengine wasiojulikana na watu nini kifanyike. Ni wazi Rais hawezi kamwe kujibebea mizigo na misingi ya uusalama wake hairuhusu kupokea pokea au kubeba vipeto au mafaili ambayo watu wabaya wanaweza kuutumia mwanya huo kutekeleza uovu wao. Kwa hiyo mnyonge mnyongeni lakini Kikwete ana haki kabisa ya kubebewa mafaili, kupokelewa zawadi na kufuatana na mpambe mwenye sare kama kidokezo cha uwepo wa nguvu za dola zinazomlinda na kumihakikisha usalama kiongozi mkuu huyo.
 
Ni mpambe kama mnavyo sema,Kila pedeshee lazima awe naye.
Mfano papa msofe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom