Hivi huyu Jf member yupo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huyu Jf member yupo wapi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mr. Bigman, May 1, 2012.

 1. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,853
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Alikuwa anakwenda kwa Id hii:INDUME YENE. Sijamwona humu jamvini muda mrefu sana. Je amebadili Id au?
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sasa hivi ni usiku unajua so ameenda kukojoa and then akalale!
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sijui kapotelea wapi-hata maxsimba naye sijui wapi kajificha
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tulishamaliza ni juzi tulimfanyia misa ya kumbukumbu yake....
   
 5. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,853
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Is it? Too sad,never knew
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ah wote mbona wapo humu...kawa banned so kaanzisha id nyingine...watu humu kila siku wanakuja na ID mpya hasa kama wakishaharibu
   
 7. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Join Date : 27th December 2009

  Location : Timbaktu
  Posts : 1,809
  Rep Power : 785
  Likes Received: 550

  Likes Given: 136  Wow, siwezi kuamini kama kweli member tena Senior Expert unaweza kutoa comments za namna hii bila kuwa na back up. Unajisikiaje kumuombea mwenzako kifo? Anyway, naamini kila mmoja ataondoka/kufariki kwa wakati wake LAKINI kwa hii comment uliyotoa duh naanza hata kuwa na wasiwasi na integrity yako. Ni jinsi gani unaweza kuwa JF Senior Expert Member kwa comments kama hizi ambazo hazina kichwa wala miguu.

  Imenibidi niweke hili jambo straight maana kuna watu wanaonifahamu wamekuwa so disturbed na hizi comments. I hope hizi comments zaweza kuniongezea siku zangu za kuishi ingawa hakuna anayezijua zaidi ya MUNGU. Hata hivyo mimi nakuombea mema katika maisha na shughuli zako.
  Ubarikiwe.

  Indume ataendelea kuwa Indume.
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Multiple IDs oyeeee!
  Yaani umeuliziwa tu ukatokea!
   
 9. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  MtotowaMjini,
  Kweli wewe ni mtoto wa Mjini. Wa mjini ndiyo wanaweka posts zisizo kuwa na ukweli wowote!!?
  Mimi niwe banned kwa lipi? Unapokuwa Sr Expert, you need to talk with the back ups. Sasa tangu lini wewe umekuwa Moderator wa kujua nani kawa banned. I guess vidole vikiwa vinatekenya huku ukiwa huna shughuli za kufanya matokeo yake ndiyo ya ku-post vitu visivyo na ukweli.
  Indume atabaki kuwa Indume.
   
 10. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Does it make sense kumtungia mtu kifo na wakati mtu mwenyewe hata hanijui. That's f&^#$*ed up.
   
 11. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mr. Bigman.
  Nipo ila shughuli za shamba zimenibana. Unaweza kuni-PM kama una lolote. Hata hivyo nashukuru kwa kuniulizia ingawa Senior Expert members wengine wamekuja na story za kizushi. Yote kheri.
   
 12. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,972
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkuu, nipo Ila natumia ID nyingine kwa sasa. Hiyo uliyoitaja nimeipumuzisha kidogo kwa muda! Just kidding, lol!
   
 13. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  kwani kama mtu kapigwa ban ni mod pekee ndiyo anayeweza kufahamu??

  Si hata member mwingine wa kawaida anafaham kama umelambwa ban.

  Utaluka wee lakin ukweli utabaki pale pale mkuu una ID nyingine uitumiayo hapa jamvin.
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Indume naona ulikuwa Torabora na sasa jamaa kama kakukurupua baada ya kukuzushia, uwe basi unapitapita na kuacha vicomment kidogo ili usiadimike sana.
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Kweli kbs Mkuu!
  Tujue ya kwmb yumo!
   
 16. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mmmh huu ni wakati wa kupalilia mazao, tukiendelea kukaa kwenye keyboard bila kuingiza kitu ni balaa.
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo Indume = Timbaktu?

  Ama kweli mutiple ID oyeeeeeeeee, idumu JF.
  Kwa style hiyo nusu ya memba ni mutiple id, mods wana kazi.............


   
Loading...