Hivi huyu ex wangu bado ananipenda au!!?

Achana nae huyo atakuliza bure.
And akanambia mi nimekuwa na wanawake but wewe una wazid for everything coz kwanza nilikuw namjal yan kama nguo chafu hasemi mimi napenda sana kufua had sometime akaw ananiambia mbon hii haijachafuk umefua! Yan umefua soksi zote ntavaa nini sasa yan nikion kavaa leo kesho nafua yan all the time nguo ziko safi usafi tu napenda! From the bed till sebren spend pawe pachaf kabisa,jikon ndo kabisa and nafany mwenyew

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasema anajutia na anajilaumu kuachana na mimi ila kwasababu isha be openly to everybody let it be kwamba tusirudiane ila anaumia kuachana na mimi na anasema tusitafutane tusije tukarudiana tena.mana tunavyoendelea kuongea hisia zake zinarudi tena kwangu ila ana mwanamke mwingine tayari.
Wewe ni ke au me

Ahaha go gaga
Fanya kama unataga
Usivunje chaga
 
And akanambia mi nimekuwa na wanawake but wewe una wazid for everything coz kwanza nilikuw namjal yan kama nguo chafu hasemi mimi napenda sana kufua had sometime akaw ananiambia mbon hii haijachafuk umefua! Yan umefua soksi zote ntavaa nini sasa yan nikion kavaa leo kesho nafua yan all the time nguo ziko safi usafi tu napenda! From the bed till sebren spend pawe pachaf kabisa,jikon ndo kabisa and nafany mwenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu housegirl

Sent From Galaxy S9

🙄 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Anasema anajutia na anajilaumu kuachana na mimi ila kwasababu isha be openly to everybody let it be kwamba tusirudiane ila anaumia kuachana na mimi na anasema tusitafutane tusije tukarudiana tena.mana tunavyoendelea kuongea hisia zake zinarudi tena kwangu ila ana mwanamke mwingine tayari.
Na ukapata mi-strees ukaenda kujitundika na hizo pregabalin
 
Anasema anajutia na anajilaumu kuachana na mimi ila kwasababu isha be openly to everybody let it be kwamba tusirudiane ila anaumia kuachana na mimi na anasema tusitafutane tusije tukarudiana tena.mana tunavyoendelea kuongea hisia zake zinarudi tena kwangu ila ana mwanamke mwingine tayari.

Wee mpelekee tuu hiyo papuchi kwanza raha mnalata wote sasa tatizo nini.
Kwanza huyo jamaa ndio kidume kweli kweli... Papuchi haisuswi na jamaa anatekeleza hio kauli mbiu
 
Back
Top Bottom