Anaonekana hayupo hapo kabisa; mawazo yake yako mbali na swala!!
Swali halijibiwi kwa swali, nilitegemea useme hapo wanaomba duwa. how much can cost you to make this statement?Hivi waislam ndio tunaswali hivyo au mnatuchokonoa? jambo kama hulijui kwanini lakini ulidhihaki??????????????????????????????????
<br />Kachoka nafsi yake anafikiri baada ya Eid akatalii wapi akapumzishe roho yake.....
Mohammed Shossi unabidi uwe muelewa, huyu jamaa inaonyesha hafahamu ndio maana anaulizaHivi waislam ndio tunaswali hivyo au mnatuchokonoa? jambo kama hulijui kwanini lakini ulidhihaki??????????????????????????????????
hivi waislam ndio tunaswali hivyo au mnatuchokonoa? Jambo kama hulijui kwanini lakini ulidhihaki??????????????????????????????????
Source: Othmanmichuzi blog