mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Afghanistan na Pakistan si nchi za Kiarabu.
jibu ni rahisi sana......
Ila ni nchi za wapi?Afghanistan na Pakistan si nchi za Kiarabu.
Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.
Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.
Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?
Sio waarabu tu wanauana.Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.
Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.
Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?
Unamaanisha nini?jibu ni rahisi sana......
Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.
Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.
Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?
Sio waarabu tu wanauana.
DRC wanauana na kubaka wanawake kila kukicha
Nigeria huko nako sasa hivi kila siku wanauana
Colombia kama kawa
Na kwengineko kwingi tu
Unamaanisha nini?
Lakini media nyingi zinaonesha sana Uarabuni kuliko huko unakosemaSio waarabu tu wanauana.
DRC wanauana na kubaka wanawake kila kukicha
Nigeria huko nako sasa hivi kila siku
wanauana
Colombia kama kawa
Na kwengineko kwingi tu
Kuna agenda yao hizo mediaLakini media nyingi zinaonesha sana Uarabuni kuliko huko unakosema
Shukran kwa mtazamo huo wakoKwa mfano swali limeulizwa: Mbona huyu jamaa mjinga sana? Halafu linajibiwa: Sio yeye tu, hata jirani yake ni mjinga! Sidhani kama swali litakuwa limejibiwa. Tuache ujinga wa "ku-balane mambo" kisa tu hoja inachoma na inawahusu "vitukuu vya mtume".
Kwa mfano swali limeulizwa: Mbona huyu jamaa mjinga sana? Halafu linajibiwa: Sio yeye tu, hata jirani yake ni mjinga! Sidhani kama swali litakuwa limejibiwa. Tuache ujinga wa "ku-balane mambo" kisa tu hoja inachoma na inawahusu "vitukuu vya mtume".
Haihusiki direct lakini inahuisika! Wengine wanaona wenzao kuwa uislamu wao haukukamilika kwa kuwa hawapambani na makaffir na wengine ni wapambanaji. Wasio wapambanaji lazima wangolewe madarakani. Sio direct lakin ni indirect!ukitafakari utaelewa.....ila usi husishe dini direct.