Hivi hili tabasamu ni halisi au ni la dharau

Kwenu ni rahisi tu kupost vitu ka hivi ila kwa kweli, alimdhalilisha Mangu kha! Wenzake woote mbona hawakufanya hivy?? Kwani Mwema walikalishwa na Mangu?? Pole zake lakini aendelee kungojea nafasi hiyo nyingine.
 
Yeyote anaepokea nafasi ya mtu aliyetenguliwa, hawezi akapokea nafasi hiyo kwa bashasha, lazima ajue ana jukumu zito linamngojea kulikabili.Sikutegemea kumuona Sirro akichekacheka, kamwe.

Kwaaliyetenguliwa, ni kutulia na kuendelea kutoa ushirikiano badala ya kwenda hotelini kuitisha press conference mwishowe utolewe bunduki kama yule bwana.
Hilo tabasamu linamaanisha ukomavu wa hekima kama kiongozi.

Huyo wa kati, sioni sababu ya kumfanya acheke au anune. Sura ipo neutral
 
I admired mangu since he was in mwanza! He is very understanding and polite alinisaidiaga ktk personal issue with a kind heart kitu makarau wengi hawana!
 
Kwa huyu IGP mpya alivyokuwa anapelekeshwa na RC wa Dar, sasa hivi jamaa sio tu atakuwa mkuu wa mkoa ila ameongezewa wigo, ni kama waziri wa nambo ya ndani, IGP ana kazi kuucheza mziki wa baba na mwana!
 
Picha ya kusikitisha sana. Mangu kavuliwa magwanda kavalilshwa Sirro, Mangu kabaki na mavazi ya koplo. Bora angevaa suti tu ya kawaida.
 
22696e41e00bb3f937bf97e459397f8d.jpg
Unajua jamaa amefurah sana kwa kuwa mzee kufanya kazi under pressure ya bila marking schem alafu ufanane majibu na mwalimu wako ni vita..bora ukubali technical sup tu..utambae zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom