eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,233
- 16,202
Kwani unafikiri hapo ndo ataacha kusumbuliwa na bashite!?Ila huyu mpya alionewa sana na Bashite bora kapanda cheo maana kila siku alikiwa anamtetea tu
Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya tanoHuyo hapo katikati ni nani?
Naona wengine wamenuna ye anatabasam
Labda maji yamezidi ungaHivi mbona mheshimiwa raisi anazeeka kwa kasi hivi?
Kwan we ulitaka awe nani??Huyo hapo katikati ni nani?