Hivi hii Nyimbo Ya Darassa Ina Nini Cha Ajabu?

Mimi nyimbo hii imekuwa tofauti. Nyimbo nyingi huwa nalazimishwa kuzipenda kwa kuwa najikuta nazisikializa kwa lazima. Ila hii niliipenda on the spot nilipoisikia na kuitazama kwa mara ya kwanza.

Taaaamu kama unachambua karanga

"...wimbo huu umekuwa tofauti".
 
Angalau tusikilize watu wengine sio kila siku wao tu
 
Sijui ni masikio yangu au ni vipi,nyimbo hii imepata umaarufu mkubwa ghafla na kumfanya msanii huyu awe chart ya juu,nimejiuizavkipi kilichoifanya nyimbo hii kua hot hasa kuanzia wiki mbili za mwisho wa 2016, any way wachambuzi wa burudani wasaidie hili

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

Kamtaja Diamond-SIMBA
Kaimba kipande cha wimbo wa saida Karoli Uliofufuliwa na Diamond -CHAMBUA KAMA KARANGA
Kutokana na hayo yote, wapenzi Wa Kiba wameona sasa Diamond kapata mpinzani wa kweli kwani Kiba alikuwa Mpinzani wa kwenye Media na Mombasa trip
 
Huo wimbo una maneno ya hatari sn (ubunifu mpya). Achana na hizo Salome (Remix ya Saida Karoli). Mm sipendi msanii asiye mbunifu. Napenda akina Chriss Brown, Eddy Kenzo, Rihanna, Lily wine, Nk.

Huo wimbo umepangiliwa misemo mipya na mikali.
Ana flow kwa style ya kipekee ni tofauti na wenzie wote. Anajua English na inatumika panapo stahili na maneno yanasikika (Siyo ile English ya Nana husikii jamaa anasema/anaimba nn!!)

Mm binafsi naukubali sn. Kwangubinafsi, maajabu ya huo Wimbo ni pale nilipo hudhuria Harusi mbili hivi za USWAZI! Hasa yale maandalizi ya Harusi kesho. Disco lake DJ hauchezi wimbo, vijana ndio wamegeuka mr. Darassa, wanaimba wao.
Hapo ndio niliamini kwann Magazeti na Blogs mbalimbali zinauita wimbo wa Taifa. Awali sikujua uzito wake.
Fanya tafiti ndogo tu. Hudhuria Club/Disco lolote lile. Underground Biti tu ya Darassa tiyar viti vyote hubaki wazi tiyari kwa makamuzi ya Vijana.

Tupongeze vijana wanaokuja na vitu vipya kama Galatone, Baraka, nk siyo upumbavu kama ule wa wimbo wa K K K na Kokoro.
 
Hata mimi huwa najiuliza sana
 
Kusema ukweli hata mimi sioni kama wimbo ni mzuri kama unavyosifiwa..japo upo powa ila naona mashabiki wametia chumvi kwenye kuusifia. Huenda hata mimi uzee unaninyemelea kwa kasi!
 
Acha maneno, weka muziki.. ndi ndi.... ndio mahudhui yake, tunadundika tu
 
Vumilia kaka ongea na Mr Nice stoe single mwaka huu au 20% kaka
 
Kamtaja Diamond-SIMBA
Kaimba kipande cha wimbo wa saida Karoli Uliofufuliwa na Diamond -CHAMBUA KAMA KARANGA
Kutokana na hayo yote, wapenzi Wa Kiba wameona sasa Diamond kapata mpinzani wa kweli kwani Kiba alikuwa Mpinzani wa kwenye Media na Mombasa trip
Wimbo wa Darassa ulikuwepo kabla ya wimbo wa daimond na huu wimbo alitaka kumshirikisha saida karol akaghairi baada ya diamond kutoa wimbo wake
 
Mbona unajichanganya?

Ulikuwepo kabla ya wimbo wa Diamond lini sasa?, ulikuwa Studio?
Sasa kama ulikwepo ilikuwaje akashindwa kufanya collabo yake na Saida kwa sababu ya Diamond?
So unamaanisha Diamond alifanya huo mziki baada ya kumuona Darasa kaimba hayo maneno ya Saida?
 
Huo wimbo una maneno ya hatari sn (ubunifu mpya). Achana na hizo Salome (Remix ya Saida Karoli). Mm sipendi msanii asiye mbunifu. Napenda akina Chriss Brown, Eddy Kenzo, Rihanna, Lily wine, Nk.

Huo wimbo umepangiliwa misemo mipya na mikali.
Ana flow kwa style ya kipekee ni tofauti na wenzie wote. Anajua English na inatumika panapo stahili na maneno yanasikika (Siyo ile English ya Nana husikii jamaa anasema/anaimba nn!!)

Mm binafsi naukubali sn. Kwangubinafsi, maajabu ya huo Wimbo ni pale nilipo hudhuria Harusi mbili hivi za USWAZI! Hasa yale maandalizi ya Harusi kesho. Disco lake DJ hauchezi wimbo, vijana ndio wamegeuka mr. Darassa, wanaimba wao.
Hapo ndio niliamini kwann Magazeti na Blogs mbalimbali zinauita wimbo wa Taifa. Awali sikujua uzito wake.
Fanya tafiti ndogo tu. Hudhuria Club/Disco lolote lile. Underground Biti tu ya Darassa tiyar viti vyote hubaki wazi tiyari kwa makamuzi ya Vijana.

Tupongeze vijana wanaokuja na vitu vipya kama Galatone, Baraka, nk siyo upumbavu kama ule wa wimbo wa K K K na Kokoro.

Mimi nilihudhuria harusi ya kishua, wimbo huu ulipopigwa nilibaki nashangaa, kila mtu anacheza hadi watu wazima kabisa ambao hata hutegemei wanajua hip hop!

Kwenye clubs,bars ndio balaa unarudiwa tu na watu hawachoki kuusikia,kuucheza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom