Hivi hii Nyimbo Ya Darassa Ina Nini Cha Ajabu?

Masikio na ubongo vilikuwa vimechoshwa na muziki fulani yalikuwa yanataka kitu kipya
 
Waulize wakina Kagame wanaoucheza na wengineo wachaga xmass waliucheza usiku kucha
 
Hili tatizo linazidi kuwa kubwa.
Nyimbo=wimbo?
Nyimbo inamaana ni zaidi ya wimbo 1.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom