Hivi hii Nyimbo Ya Darassa Ina Nini Cha Ajabu?

Hivi hii Nyimbo Ya Darassa Ina Nini Cha Ajabu?

Iko Iko cha ajabu ndio kimekufanya uje kuuwekea Thread humu
 
Sijui ni masikio yangu au ni vipi,nyimbo hii imepata umaarufu mkubwa ghafla na kumfanya msanii huyu awe chart ya juu,nimejiuizavkipi kilichoifanya nyimbo hii kua hot hasa kuanzia wiki mbili za mwisho wa 2016, any way wachambuzi wa burudani wasaidie hili

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mwaka mzima watu wanalialia tu. Mara hela hamna,mara Magu kafanya hivi kafanya vile yaani nchi nzima unaweza kusema iko stressed!

Sasa huu wimbo una vionjo vya good time, kuanzia midundo,maneno,video hasa wale wadada yaani kifupi wimbo una 'feel good factor' ambayo watu wameikosa kwa muda mrefu.

Ukisikia huu wimbo unajikuta tu unataka kudance,have good time etc! Kiukweli huu wimbo umenikumbusha ujana wangu!
 
Sijui ni masikio yangu au ni vipi,nyimbo hii imepata umaarufu mkubwa ghafla na kumfanya msanii huyu awe chart ya juu,nimejiuizavkipi kilichoifanya nyimbo hii kua hot hasa kuanzia wiki mbili za mwisho wa 2016, any way wachambuzi wa burudani wasaidie hili

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Nami mwanzoni nilijiuliza swali hilo.Lakn nilipoona unazid zaid KUPENDWA ikabid nami NIUPENDE tu
 
Kuna mawe mle yamelushwa gizani ndio maana unaona mtu mmoja kawekwa kando kachukuliwa Darassa ndio anakaimu nafasi ya kupambanishwa na Yule jamaa wa madale Wabongo wanapenda mipasho
Mi nafikiri kuna haja humu watu wachambue maneno yaliyo kwenye ile nyimbo.
 
Linyimbo la hovyo kabisa sijawahi kuona. Watu utadhani wamerogwa waipende ila mm walaaaa
Utaipendaaa eeh utaipendaaah
Kwa chuki kwa moyo utaipedaaah!
Acha maneno weka muziki[emoji23] [emoji23]
 
Sijui ni masikio yangu au ni vipi,nyimbo hii imepata umaarufu mkubwa ghafla na kumfanya msanii huyu awe chart ya juu,nimejiuizavkipi kilichoifanya nyimbo hii kua hot hasa kuanzia wiki mbili za mwisho wa 2016, any way wachambuzi wa burudani wasaidie hili

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Hizo zilizowafanya akina Daimond wakawa matajiri zina kit gani cha ajabu? Si ni maneno hayo hayo tu?
 
Nami mwanzoni nilijiuliza swali hilo.Lakn nilipoona unazid zaid KUPENDWA ikabid nami NIUPENDE tu
Mimi nyimbo hii imekuwa tofauti. Nyimbo nyingi huwa nalazimishwa kuzipenda kwa kuwa najikuta nazisikializa kwa lazima. Ila hii niliipenda on the spot nilipoisikia na kuitazama kwa mara ya kwanza.

Taaaamu kama unachambua karanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom