Ni utovu wa nidhamu na ukwepaji majukumu ya kifamilia kwa mwanamke kutelekeza mume na kukimbilia kwa watoto kuishi huko miezi. Maandiko kwa wakristo hayaruhusu kabisa.kwani wanalala naye chumbani? au anaona anammalizia vyakula? kama mimi ni mme wako upo na mimi faragha chumbani kwangu tunajadili yetu na pengine tunamjadili hata bimkubwa mwenyewe na kupanga yetu, tukitoka asubuhi tunamkuta sebuleni au jikoni, tunamwaga vizuri hao kazini, hadi jioni, kuna shida gani?.....anakuibia nini, upendo? kwani chumbani kwenu mnalada watatu? wewe, mama mkwe na mmeo?
Kama haumwi na vyote anapata akiwa kwake na mume anae mwenye Afya njema... Bado anakuja kukaa Makali miezi sita...Ana kwake na ni pazuri tu kajengewa na wanae,pia ana mme wake ye anataka akae kwa wanae tu
No... hapo sasa ndipo penye mkanganyiko inategemea na nidhamu ya mzazi.Akisema nimekuja kutembea utamuuliza atakaa muda gani?
Futa.Haa haa haya mkuu labda nlielewa vbaya
Sio mimi, kwanza mimi atakaenioa atapata bahati sana mim nikimpenda Mwanaume napenda na ndugu zake ndio fomula niliyonayo ,,,kwa upande wangu naweza kuishi na mama wa mme wangu na namlea tu vyemaa,ila haswaaa nikiwa nampenda huyo mme ,,,lazima nipende anachopenda mme wanguNadhani mleta mada ndio muhusika. Naomba nikuulize: Angekua ni mama ako mzazi ungesema hivo? 2. Kati ya wewe na mumeo nani anatoa matumizi?? 3. Anaetoa mahitaji ya familia na anayehudumiwa nani anatakiwa kulalamika?? 4. Kumpikia mama kwe wako unaona kazi sana???? 5. Mumeo amechukua kitanda mlichokua mnalalia kampa mama ake alalie na wewe unalala chini???? 6. Umewahi kusikia mama mkwe wako ni mchawi???. Ukijijibu haya uatagundua kwanini watu husema HAKUNA KAMA MAMA. Angelikua baba mkwe wako ningepata mashaka maana wanaume hatuaminiki (maana ni ngumu mkamwana kumtongoza baba mkwe) lakini MAMA, MAMA, MAMA, MAMA. Hiyo ni chata nyingine. Usirudie huu upuuzi
Sawa mkuu lakini sasa ndio umwache baba watoto miezi 6 peke yake ati ulipata shida na mwanao? Nani hakupata shida na mwanae????Ni haki yake jmn hujui wanawe kawalea kwa shida gn. Sasa leo wamepata manufaa wanufaike wengne, looh me mwanangu akioa naenda kuhamia kabisa, shida nnayoipata Sasa kumtengenezea nice future naijua mm na ole wake uyo mkamwana alete vijineno atajuta...[emoji51]
Sawa mkuu lakini sasa ndio umwache baba watoto miezi 6 peke yake ati ulipata shida na mwanao? Nani hakupata shida na mwanae????Ni haki yake jmn hujui wanawe kawalea kwa shida gn. Sasa leo wamepata manufaa wanufaike wengne, looh me mwanangu akioa naenda kuhamia kabisa, shida nnayoipata Sasa kumtengenezea nice future naijua mm na ole wake uyo mkamwana alete vijineno atajuta...[emoji51]
Aysher sio waolewaji wa sasa....Ni waolewaji wa sasa tunajifanya wazungu tunaishi kizungu hatutaki wazazi wala ndugu, lkn hiyo sio haki kabisa.
Mfano huyi binti alijifungua mama mkwe ana nguvu kabisa bado alikuwa hamsaidiii chochote , binti wa kazi afanye kila kitu,adeki,apike,afue,kila kitu afanye mama mkwe hata kuogesha mjukuu hakuna,,hapo mama yake mzazi akashindwa kuja kwa sababu mama mkwe wa mwanae yupo,binti ikabidi akomae tu asaidizane sasa hivi anaumwa kiuno haswaa kwa ajili ya kufanya kazi kiuno hakijakomaa kwaajili ya kujifunguaWengi mnawatetea wamama lakini niseme si vibaya ila kuna baadhi ya makabila wamama ni kero kwenye ndoa za watoto wao, nimeshuhudia dada mmoja akikosa raha mama mkwe na ma wifi hawakatiki nyumbani, alafu hawamsaidii kazi wananyosha miguu tu, hii si sahihi kabisa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama haumwi na vyote anapata akiwa kwake na mume anae mwenye Afya njema... Bado anakuja kukaa Makali miezi sita...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkwe mbea utamjua tu.....
Na yy uyo baba watt km anaona yuko peke yake na aje hajafukuzwa ati..!! Tutahamia sote kwa mtt wetu Ni haki yetuSawa mkuu lakini sasa ndio umwache baba watoto miezi 6 peke yake ati ulipata shida na mwanao? Nani hakupata shida na mwanae????
No... hapo sasa ndipo penye mkanganyiko inategemea na nidhamu ya mzazi.
Halafu bro hii ni ligi familia zinatofautina na malezi yanatofautina. Kila mmoja anaongea kwa experience ya familia na jamii iliyomzunguka. Ila binafsi nipo against na sio against ni aibu kwake kukaa kwangu aibu saana.
Hapa kila mmoja atatetea anachokifanya kwake.Haa haa haa nmecheka sana hapo
Oh, ni nadra sana hayo mambo kumkuta baba mkwe kamfanyia mkweweHivi unajua wanawake wakikaa sehemu moja,naomba kama umeoa mlete mama ako akae na mkeo muda mrefu utaniambiaa,kuna vitu unaweza fanya ni kawaida tu halaf mama mkwe akaona umemtendea vibayaa
Tatizo wengi hawajui mipaka yaoKama mkwe mstaarabu, anayajua mipaka yake na anaheshimu nyumba ya mwanae,hawezi kukaa muda wote huo kwa mwanae na hawezi kuanza kuleta shida kwa ndoa ya mwanae.
Haya ameona mkwewe ana shida, si arudi kwake.
Hlo liko sahihi kila mwamba ngoma huvutia kwakeHapa kila mmoja atatetea anachokifanya kwake.
Ha! Ha! Ha! Mkuu hamieni tu. Lakini siyo ustaarabu kabisa.... Kazi Yangu kubwa itakuwa ni kukarangiza hadi sufuria zitoboke... [emoji15] [emoji15] [emoji15]Na yy uyo baba watt km anaona yuko peke yake na aje hajafukuzwa ati..!! Tutahamia sote kwa mtt wetu Ni haki yetu
Na hilo ndio tatizo. Na ndio wavurugaji wakubwa wa ndoa za watoto wao.Tatizo wengi hawajui mipaka yao
Halafu unakuta dada wa watu anasemwa na mama mkwe mpaka basiMfano huyi binti alijifungua mama mkwe ana nguvu kabisa bado alikuwa hamsaidiii chochote , binti wa kazi afanye kila kitu,adeki,apike,afue,kila kitu afanye mama mkwe hata kuogesha mjukuu hakuna,,hapo mama yake mzazi akashindwa kuja kwa sababu mama mkwe wa mwanae yupo,binti ikabidi akomae tu asaidizane sasa hivi anaumwa kiuno haswaa kwa ajili ya kufanya kazi kiuno hakijakomaa kwaajili ya kujifungua