Siwachukii, kama anakuja kukaa kwa amani hakuna tatizo. Shida ni hizo figisu figisu zao. Alafu mtu ana kwake na kamuacha mumewe muda wote huo kweli!!!
Mkuu hapo n kuongea umeongea tuNimepayuka mkuu? ?
Unajua linapokuja suala la wazazi huwa tunakuwa na ile blind eye, kuwa they are always right. Kwahiyo hata akikosea mtu anaogopa kumwambia. Kama mzazi yeye ni mtu mzima na anapaswa atumie busara, sasa 6months uko kwa mwanao na umemuacha mumeo kwako, tena kama haitoshi unaleta tena figisu figisu!! Hapana kwakweli kila jambo lapendeza kuwa na kiasi.Mimi na wewe tuna utofauti kumbe eeh. Wewe unaruhusu akae.
Sasa hizo figisu si majaliwa shemeji.
Suala kwanini aje akae tena kwa muda mrefu hivyo? Kama kusalimia 1 week inatosha. Kama sherehe matibabu na mambo mengine sawa. Ila eti aje akae tuuu
Hivi shemeji unajua unapoenda kwa mtu kwanza lazima useme umeenda kufanya nini eeeh. Sasa huyo wa kukaa 6 month atasema ameenda kufanya nii?Unajua linapokuja suala la wazazi huwa tunakuwa na ile blind eye, kuwa they are always right. Kwahiyo hata akikosea mtu anaogopa kumwambia. Kama mzazi yeye ni mtu mzima na anapaswa atumie busara, sasa 6months uko kwa mwanao na umemuacha mumeo kwako, tena kama haitoshi unaleta tena figisu figisu!! Hapana kwakweli kila jambo lapendeza kuwa na kiasi.
hata mwaka anaweza kukaa
Kwan n kwa mwanae wa kumzaa
tatzo wanawake nyie hampendi kuish na ndugu wa
Mume hata mama mzaaa chema tu mnaona kero
Huyo bint afungashe firago
Arud kwao akiona ameshindwa hajui tu kama
Mmejazana kama siafu
Ndio wanasema kaenda kwa mwanae aliembeba tumboni miezi tisa, kwahiyo ana haki ya kukaa atakavyo bila sababu yoyote.Hivi shemeji unajua unapoenda kwa mtu kwanza lazima useme umeenda kufanya nini eeeh. Sasa huyo wa kukaa 6 month atasema ameenda kufanya nii?
Ulishawahi jiuliza why? Au tatizo linaonekana upande mmoja tu!!Ni kweli kabisa, wengi wao hawapendi kuishi na ndugu wa mume. Loud and Clear.
Hivi shemeji unajua unapoenda kwa mtu kwanza lazima useme umeenda kufanya nini eeeh. Sasa huyo wa kukaa 6 month atasema ameenda kufanya nii?
Ndio wanasema kaenda kwa mwanae aliembeba tumboni miezi tisa, kwahiyo ana haki ya kukaa atakavyo bila sababu yoyote.
Bahati nzuri my mom used to give out the reason, na alikuwa hakai hivyo bila sababu. Alikuwa na msemo wake fulani ambao ulibaki kuwa funzo kwangu daima. She knew her limits.Mamako akihitaji kuja kukaa kwako anahitaji kueleza sababu?
Tena huyo hata sikanyagi.
Mama hapewi talaka aise.Hizo mnazoita ndoa huwa zina mwisho wake ila mama nimwanzo mwisho.muacheni mama ale maisha maana kama ambavyo ilikua haki mtoto kukaa kwa mama ndo ilivyo haki mama kukaa kwa mtoto.Na kumbuka mama na mtoto ni ndugu wa damu ila wewe mke ni rafik tu.Na mara nyingi wanaoleta visa ni wake wenyewe na mama kamwe hawez kuvumilia kuona kuna kinyangarika kinampelekesha kijana wake,sasa hapo ndo wake utasikia ooh mama mkwe wangu mara hivi mara vile.Mimi my wife mtihani wake wa kwanza ilikua kukaa na mama yangu maana mama yangu ndie mwanamke wangu wa kwanza na milele.Angeshindwa hapo bye bye.
Mkuu rogie hata leo nikienda kwetu siulizwi nimeenda kufanya nini ila kimawasiliano lazima mgeni nitambulishe ugeni wangu.Yaani Mama wa Kijana tena mume unaweza kumfananisha na mtu yeyote tu kwenda kwa mtu?
Mkuu rogie hata leo nikienda kwetu siulizwi nimeenda kufanya nini ila kimawasiliano lazima mgeni nitambulishe ugeni wangu.Yaani Mama wa Kijana tena mume unaweza kumfananisha na mtu yeyote tu kwenda kwa mtu?
Hili wengi hawalioni, wamekazania upande mmoja tu.Mmh. Hapana si Sawa. Tena kaacha mumewe alikotoka?? hapana kabisa. At least angekaa kwa muda mfupi anarudi kwake then anakuja tena hivo. Na hii tabia ya kujifanya anaendesha nyumba ya mtu Kama ya kwake sio njema kabisa Yaani Hata kMa ni mama,si alishamlea mtoto wake basi amuache alelewe na walimwengu pia..Ili ajifunze mengi