MTONILIST
Member
- Apr 20, 2012
- 77
- 10
Mke wangu anatabia mbaya hata kama anajua nimetoka kazini nimechoka akiniona tu baada ya muda ni hata kama anajua nimechoka hakuna kupeana pole kwa uchovu yeye atakachofanya ni kuanza kuniuliza maswali ya ajabuajabu mfano leo tunapika nini wakati hela ya chakula nimemuachia sasa sijui nikimjibu pika chochote anaanza kufoka sijui lengo lake nini naombeni ushauri wazee wa jukwaa.