Hivi hii ni ishara ya kunichoka au?

MTONILIST

Member
Apr 20, 2012
77
10
Mke wangu anatabia mbaya hata kama anajua nimetoka kazini nimechoka akiniona tu baada ya muda ni hata kama anajua nimechoka hakuna kupeana pole kwa uchovu yeye atakachofanya ni kuanza kuniuliza maswali ya ajabuajabu mfano leo tunapika nini wakati hela ya chakula nimemuachia sasa sijui nikimjibu pika chochote anaanza kufoka sijui lengo lake nini naombeni ushauri wazee wa jukwaa.
 
....relax, mkeo anamaanisha "unapenda akupikie chakula gani (kwa pesa uliyomuachia)"
 
Mke wangu anatabia mbaya hata kama anajua nimetoka kazini nimechoka akiniona tu baada ya muda ni hata kama anajua nimechoka hakuna kupeana pole kwa uchovu yeye atakachofanya ni kuanza kuniuliza maswali ya ajabuajabu mfano leo tunapika nini wakati hela ya chakula nimemuachia sasa sijui nikimjibu pika chochote anaanza kufoka sijui lengo lake nini naombeni ushauri wazee wa jukwaa.

umewahi sana kuoa... ''kama umeoa kweli''
 
Dawa: Tafuta Small House, unapita unapumzika kwanza ukirudi nyumbani hata uboreki tena!:mwaaah:

we mjanja kweli siku akinasiana hutakuepo kumsaidia aibu yake,huu ushauri ni balaa
 
ulipotaka kuoa wazazi wako walikuruhusu ama uliwambia umeoa?

Nachojua wazazi kabla hawajakuruhusu kuoa huwa wanaangalia kwanza kama kweli unauwezo wa kukaa na mke ndo wanakupa go ahead

Anyway nadhani hayo ni mambo madogo tu ya kukaa na kuongea na mkeo c unajua kitu kufundishana sababu inawezekana yeye anaona sio big deal kama wewe humwambiii
 
hiyo hela unayomwachia inatosha?

Wanaume mnapenda kuoewa poleeee?

Umezungumza na mwenzio kuhusu hilo? Kasemaje?
 
Muambie tu, ngoja nipumzike afu nitakujibu. Usiugeuze ugomvi utakirihika buree. Anakuuliza tu kama ukipita njiani huko ulitamani samaki ama mishkaki. Mbona saa zingine anakuuliza mpenzi leo unataka nikupeje, ni sehemu ya manjonjo banaa. Muanze kwa kumuambia pole na shughuli, nae automatikale atakuambia pole na wewe baba.

Ila na sie wanawake malezi yanatuathiri, kwani kumuamvia mume poleni sh ngapi? Aaagh!
 
Hapa kuna kitu kimoja naweza kukusaidia ndugu....
Punguza hasira na jazba za uchovu wa kazi...
Kuulizwa nini utakacho kula ni kwa kuwa wewe ndiye mlaji. Ni swali la kawaida sana na ndio maana ukifika hotelini huwa ndio swali la kwanza.
 
Mume wangu akili yake ni yakufikiri na kutafuta pesa siwezi mwingiza jikoni kufikiri stupid women alitakiwa tu akuulize unapendelea kula nini leo nikupikie switie.hapo kuna mfumo jike watch out,tell her to respect you.hawa ndio type zawanawake wanakuomba hela ya chumvi mbele ya wageni.badala yakukuita chumbani akuombe kwa utaratibu.
 
Hahahaaaa! kunasa? kwani hana testa?
Siku hizi unachovya kwanza kijiti kikitoka hapo powa tu!
Anaway kwanini aende kwa wa mtu wakati wako masingo kibao tu!

we mjanja kweli siku akinasiana hutakuepo kumsaidia aibu yake,huu ushauri ni balaa
 
We mwanaume mzima unarudi nyumbani saa sita mchana, kutafuta nn? au wewe ni kinyozi? kwa mfanyakazi wa kawaida nyumbani fika kuanzia saa moja jioni saa mbili, ndio maana anakuuliza "tunapika nini?"
Mwanaume chelewa kurudi sio kuwai nyumbani unakuta mtu hata chai ya asubuhi ajamaliza kuinywa, kisa mawivu ya kijinga kila wakati unataka kumuona mkeo badala ya kufanya kazi
Namna hiyo hamkawii kuchokana.
 
mazoa hujenga tabia,umekuwa unaulizwa kila siku unajibu sasa tatizo nn?ww unaweza ukawa mwalimu wake kwa kumwambia ukwel
 
Dawa: Tafuta Small House, unapita unapumzika kwanza ukirudi nyumbani hata uboreki tena!:mwaaah:
walewale!!!mwambie pia ajiandae kuachana na mkewe atapojua hilo, usisahau na ukimwi na kuzaa watoto wa nje tena wanaokuwa na baba zaidi ya mmoja , raha sana chezea vidumu ninyi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom