Uchawi upo,nimeonana na kitu nyumbani kwangu asubuhi hii

litutumbwe

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
581
1,014
Nilikua ndiyo nimeamka nikajiandaa kwenda kazini.. nimetoka upande wa nje ndiko ambako kuna mabanda na vitu mbali mbali ghafla niliona kitu kilichofanya tumbo livurugike...

Nikamuona paka, ila anatembea kwa miguu miwili, akanisogelea na kunisemesha... wewe litutumbwe kwa nini ulinitumia ukaniacha??

Njlishangaa kwa sababu sikuwahi kulala na paka... hapo mke wangu alikuwa bado hajaamka kwa hiyo hata kupiga kelele niliogopa sana.

Hapo dk 20 zikawa zinakata huku nikimuomba anikumbushe ni wapi nilimtumia na kum dump.

Ghafla akawa na sura ya kike na akabadilika kua mwanamke mrefu kiasi mnene kiasi mweupe wa maji yakunde.

Hapo ndipo nilipomkumbuka,nikweli niliwahi kumtumia nakumkimbia sikumlipa ela yake wakati mrefu uliopita,kumbe alikuwa ananiwinda kila siku.

Nikatoa machozi ya mchongo anisamehe ila hakuelewa...
Niliona nikama naota ila ulikua uhalisia...
Mke wangu akatoka ndani kwani kulishapambazuka kabisa na kuona kama naongea namtu...

Aliposogelea ulitokea mlipuko mkubwa sana wa bomu tuliosikia ni mimi na yule niliyeongea naye na mke wangu tu.

Kuhamaki tupo wawili tu mimi na mke wangu... akauliza kimetokea nini? Nikajibu ata miye sijui...
Haya mambo yapo..

Kuna mwanamke mmoja malaya alishawahi kuomba lift kwenye gari ya jamaa fulani... alipomuambia nishushe nimefika jamaa akamuambia gari hii haionekani nawatu nanaweza kukufanya lolote humu ndani...

Unaweza kusikia kishindo kikubwa na mtu wa karibu yako asisikie...

Basi baada ya pale nikaelekea kazini.
Kuingia ofisini juu yameza nakuta bonge la joka... jamani haya mambo yanatisha.

Kuhamaki naona linanipa ishara niketi kwenye kiti mule ndani...

Nikaketi naye akaketi kwenye sofa mule ofisini na akaanza kunitazama huku ni kama anatabasamu kwa mbali...
Nikawa nasubiri lianze mazungumzo sasa...

Huwezi amini haya yote yametokea masaa machache tu yaliyopita

Yafuatayo yalitisha, nitamalizia hii jioni
 
Pitia kwa mrema pale bondeni agiza kitimoto nusu ipige na bia alafu usinawe sana rudi na vimfupa kadhaa pitia na kwa pusha pale juu chukuwa kete nne rudi nyumbani taratiibu umsubirie mgeni wako
Mimi si mpenzi wa kitimoto... naomba uniambie njia nyingine
 
Nilikua ndiyo nimeamka nikajiandaa kwenda kazini.. nimetoka upande wa nje ndiko ambako kuna mabanda na vitu mbali mbali ghafla niliona kitu kilichofanya tumbo livurugike...

Nikamuona paka, ila anatembea kwa miguu miwili, akanisogelea na kunisemesha... wewe litutumbwe kwa nini ulinitumia ukaniacha??

Njlishangaa kwa sababu sikuwahi kulala na paka... hapo mke wangu alikuwa bado hajaamka kwa hiyo hata kupiga kelele niliogopa sana.

Hapo dk 20 zikawa zinakata huku nikimuomba anikumbushe ni wapi nilimtumia na kum dump.

Ghafla akawa na sura ya kike na akabadilika kua mwanamke mrefu kiasi mnene kiasi mweupe wa maji yakunde.

Hapo ndipo nilipomkumbuka,nikweli niliwahi kumtumia nakumkimbia sikumlipa ela yake wakati mrefu uliopita,kumbe alikuwa ananiwinda kila siku.

Nikatoa machozi ya mchongo anisamehe ila hakuelewa...
Niliona nikama naota ila ulikua uhalisia...
Mke wangu akatoka ndani kwani kulishapambazuka kabisa na kuona kama naongea namtu...

Aliposogelea ulitokea mlipuko mkubwa sana wa bomu tuliosikia ni mimi na yule niliyeongea naye na mke wangu tu.

Kuhamaki tupo wawili tu mimi na mke wangu... akauliza kimetokea nini? Nikajibu ata miye sijui...
Haya mambo yapo..

Kuna mwanamke mmoja malaya alishawahi kuomba lift kwenye gari ya jamaa fulani... alipomuambia nishushe nimefika jamaa akamuambia gari hii haionekani nawatu nanaweza kukufanya lolote humu ndani...

Unaweza kusikia kishindo kikubwa na mtu wa karibu yako asisikie...

Basi baada ya pale nikaelekea kazini.
Kuingia ofisini juu yameza nakuta bonge la joka... jamani haya mambo yanatisha.

Kuhamaki naona linanipa ishara niketi kwenye kiti mule ndani...

Nikaketi naye akaketi kwenye sofa mule ofisini na akaanza kunitazama huku ni kama anatabasamu kwa mbali...
Nikawa nasubiri lianze mazungumzo sasa...

Huwezi amini haya yote yametokea masaa machache tu yaliyopita

Yafuatayo yalitisha, nitamalizia hii jioni

Mtafute huyo mtu umlipe asap
 
Jomba mtu aliyekutwa na hizo mambo muda huu hata asingekua hapa jukwaani kuandika, kama ni wa kudini sana Angekua kwa sheik ama Mchungaji anapigwa dua tu, ama kama sio anatumiaga na utamaduni angekua kwa mganga tayari

Hizo mambo umeangalia movie zako za kibongo unatuletea stori
Why nishtuke wakati nishazoea na si mara ya kwanza kukutana na haya?ni wewe ndo unaona ajabu ila mambo haya yapo
 
Screenshot_20230501-040240~2.png
 
Nilikua ndiyo nimeamka nikajiandaa kwenda kazini.. nimetoka upande wa nje ndiko ambako kuna mabanda na vitu mbali mbali ghafla niliona kitu kilichofanya tumbo livurugike...

Nikamuona paka, ila anatembea kwa miguu miwili, akanisogelea na kunisemesha... wewe litutumbwe kwa nini ulinitumia ukaniacha??

Njlishangaa kwa sababu sikuwahi kulala na paka... hapo mke wangu alikuwa bado hajaamka kwa hiyo hata kupiga kelele niliogopa sana.

Hapo dk 20 zikawa zinakata huku nikimuomba anikumbushe ni wapi nilimtumia na kum dump.

Ghafla akawa na sura ya kike na akabadilika kua mwanamke mrefu kiasi mnene kiasi mweupe wa maji yakunde.

Hapo ndipo nilipomkumbuka,nikweli niliwahi kumtumia nakumkimbia sikumlipa ela yake wakati mrefu uliopita,kumbe alikuwa ananiwinda kila siku.

Nikatoa machozi ya mchongo anisamehe ila hakuelewa...
Niliona nikama naota ila ulikua uhalisia...
Mke wangu akatoka ndani kwani kulishapambazuka kabisa na kuona kama naongea namtu...

Aliposogelea ulitokea mlipuko mkubwa sana wa bomu tuliosikia ni mimi na yule niliyeongea naye na mke wangu tu.

Kuhamaki tupo wawili tu mimi na mke wangu... akauliza kimetokea nini? Nikajibu ata miye sijui...
Haya mambo yapo..

Kuna mwanamke mmoja malaya alishawahi kuomba lift kwenye gari ya jamaa fulani... alipomuambia nishushe nimefika jamaa akamuambia gari hii haionekani nawatu nanaweza kukufanya lolote humu ndani...

Unaweza kusikia kishindo kikubwa na mtu wa karibu yako asisikie...

Basi baada ya pale nikaelekea kazini.
Kuingia ofisini juu yameza nakuta bonge la joka... jamani haya mambo yanatisha.

Kuhamaki naona linanipa ishara niketi kwenye kiti mule ndani...

Nikaketi naye akaketi kwenye sofa mule ofisini na akaanza kunitazama huku ni kama anatabasamu kwa mbali...
Nikawa nasubiri lianze mazungumzo sasa...

Huwezi amini haya yote yametokea masaa machache tu yaliyopita

Yafuatayo yalitisha, nitamalizia hii jioni
Nacheka ka mazuri Akija mwmbie SHINDWA KWA DAMU YA YESU
 
Back
Top Bottom