Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

hizi za katavi sio za kuziamini sana boss,si unajua wabongo wanaweza kukuweke rangi za ice cream na ute wa majai na pafyum kwa mbaaaliπŸ˜‚
My ribs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii hapa ndio sanitizer, hiyo kwenye uzi wako ni sabuni zile za maji.

Ila kimsingi, watu waelimishwe maana sio wewe tu wengi nimeona wanadhani sanitizer ndio hiyo sabuni ya maji.
 
Sio hio

Ila hio ni Sabuni ya kawaida.

Ngoja nikuambie kitu.
Sabuni na maji ya kunawa vinasaidia sana kuliko hata hio hand sanitizers ambazo wamezipandisha bei.

Kwa hio ukikosa hizo sanitizers wewe hakikisha unanawa mikono wewe na familia yako pindi mtu yoyote akishika kitu kisichoeleweka au pesa.
Wale virusi wanakaa pia kwenye pesa.
Na pia muepuke sana kushika shika sehemu za uso kama mikono yako sio misafi
 
MASKs zinatumika kwa wale ambao tayari wanaugua huo ugonjwa au watu wanaohudumia wagonjwa (wahudumu wa afya). Kwa mtu ambaye hajauguwa, endelea kuchukua tahadhari ya kunawa mikono kwa sabunii, na kuwepo mikusanyiko isiyo ya lazima kama kwenda baa au kuangalia mpira!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…