Mambo ya kizungu hayo, ukitaka kujiselebretisha lazima uweke mizigo hadharani, hapo kafanana sana na Paris Hilton.
Bila shaka alipaswa aulize "hivi birauli hii imetengenezwa kwa metali au kioo?"Mi nadhani itakuwa ni ya bati hiyo kiongozi coz mi sina kama hiyo mkuu kwani glass kwa kiswahili ni nini kiongozi mpaka uulize ni glass ya bati au ya KIOO ?.
Bila shaka alipaswa aulize "hivi birauli hii imetengenezwa kwa metali au kioo?"
Salamander hiyo glass mbona siioni aise naona mambo zingine hapo hebu kabanga na utafiti na mshanajr waje waonyeshe glass hapo
uzuri usoni ila paja limelendemka mabonde mabonde utafikiri uji mzito ulopoa...sijui kama paja hivi kalio litakuwaje