Hivi hii glasi ni ya bati au kioo?

Hivi hii glasi ni ya bati au kioo?

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

attachment.php
 
Hapo hakuna cha gilasi wala kibakuli hapo kuna matangazo ya hormon ya kiume na ya kike tuu
 
Nikimuonaga mdada kajianika kizembe zembe namuhisi vibaya na mbaya zaidi asiwe anavutia ndio basi tena.....
 
Nikimuonaga mdada kajianika kizembe zembe namuhisi vibaya na mbaya zaidi asiwe anavutia ndio basi tena.....

Mambo ya kizungu hayo, ukitaka kujiselebretisha lazima uweke mizigo hadharani, hapo kafanana sana na Paris Hilton.
 
Back
Top Bottom