Mambo ya kizungu hayo, ukitaka kujiselebretisha lazima uweke mizigo hadharani, hapo kafanana sana na Paris Hilton.
Salamander hiyo glass mbona siioni aise naona mambo zingine hapo hebu kabanga na utafiti na mshanajr waje waonyeshe glass hapo
miss neddy kwani hapo kuna glass mi sijaiona bana labda macho yangu mabovu kabisaungeiona glass leo ningeomba ban
Honey Faith kwa kweli inabidi nikatafute miwani maana naona macho yangu yanazidi kuwa mabovu siku hizi sioni kabisa
miss neddy kwani hapo kuna glass mi sijaiona bana labda macho yangu mabovu kabisa
Honey Faith kwa kweli inabidi nikatafute miwani maana naona macho yangu yanazidi kuwa mabovu siku hizi sioni kabisa
hahahaha haya basi njoo uchukue darubinj
Ngoja nikuje faster nije nichukue darubini niangalie kwa umakini miss neddy inaweza kuwa glass nzuri na mimi ninunue
Mhhhh?Thubutu kwa hilo japa lililotepeta?
Then nasikia kiumri ni mdogo tuu...sasa sielewi why paja litepete hivi kama la mmama...Je akifika 30 au 35 litakuwaje kama sasa halijakaza ?
ni nzuri sana sema macho hayaoni vitu vidogo
Honey Faith kwa kweli inabidi nikatafute miwani maana naona macho yangu yanazidi kuwa mabovu siku hizi sioni kabisa
Then nasikia kiumri ni mdogo tuu...sasa sielewi why paja litepete hivi kama la mmama...Je akifika 30 au 35 litakuwaje kama sasa halijakaza ?
Huyu kwa chini anavutia ila kwa sura afadhali umvishe helment.
Yani nimecheka nimeanza kuwaza uji mzito uliopoa unakuaje?Halafu tena uwe na mabuja buja hahahaha