Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Last edited by a moderator:
boflo alikuwepo jana katika jukwaa la kimataifa...
dada alisahau kwamba, dunia duara
boflo alikuwepo jana katika jukwaa la kimataifa...
akasema hiki.. alikuwa quoted na kapalamsenga
By Boflo![]()
![]()
haya ndio maelezo yake:-
Habari zenu marafiki ?
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 kwasasa nina mtoto mmoja wa kike ambae nilizaa na mshenzi mmoja miaka mitano iliyopita.
Huyo jamaa jina lake linaanziwa na K, alinikimbia toka kipindi cha mimba na alikuwa akiwaambia watu kuwa mimba sio yake,kwa kudra za mwenyezi Mungu nilijifungua salama na mtoto amefafana na baba yake kupita kiasi.
Toka kipindi cha mimba mpake leo hii mtoto ana miaka 5 sijawahi kuona hata senti ya huyo kaka kwa ajili ya malezi ya mtoto, huyo kaka ana kazi nzuri sana na analipwa mshahara mzuri tu kwa kweli.
Swali langu ni kwamba nikimpeleka mahakamani je ataamuriwa kunipa pesa za mtoto? Je pesa za nyuma na hizo ataambiwa anilipe? Je ni kiasi gani kwa mwaka anaweza kuamuriwa anipe. Mshahara wake kwa mwezi sio chini ya milioni 3
Mpole sana alionekana hapa 25.6.2014!
Blaine ndo haonekani sana,
hii post nimeibamba ikiwa imeulizwa na Kongosho kwamba alikuwa wapi..
ila last seen yake ni 27 dec 2013..
attendance closed
Hata nami nimemmiss sana. Namkubali sana, she very intelligent, natamani angerudi.
Mpole sana atakuja tu saaaaasa hv!
Mradi umemwita sasa hv ataitika!
Mie namuulizia Gaijin, nilikuwa napenda michango yake sijui kapotelea wapi huyu, au ndio aliamua kusepa kimya kimya.[/QUOTE Gaijin nammiss kwenye kiswahili!
Hahahahaha bila kusahau zile za uso zake!
Khaaaaaaa!
Jibu lake mooooja tu ukiingia hovyo kwny 18 zake anakupa cha chembe mpk unaangalia nyuma kama kuna mtu kaona!
Hahahahahahaha ulijuaje naenda kuliburuta!Hahaha snowhite, liburute.
afu i really need u. Hebu ukuye chemba, nna hamu ya kudeka na paw nimemnunia
Mwambie nimemletea annointing water ambayo inastraighten everything.
Hahahahahahaha ulijuaje naenda kuliburuta!
A minute nakuja!kuna sehemu navizia futari wameniambia nipeleke kikombe cha uji!
Nkuletee?