Hivi hawa watu wako wapi?

Hivi hawa watu wako wapi?

The Boss atakuwa kachepushwa, nimetoka kwao juzi hajaonekana mwaka wa 13 sasa. Ukimuona mwambie asali sh 80,000 kwa lita 20.
Hahahahahahahaha hili jungu kiboko!..
Blaine alikuwa vere komfotabo kututania bossman akiwa hayupo.akimuona tu ndruuukii .nilikuwa nacheka sana!
Atiiiii miaka 13?
Enhenhennhe atakuwa kachepushwa na mdigo kalowea Tanga huko!
Hiyo honey ni kitu cha wild wild West au Tabora?.
Tempting!
 
Mitaa ya kwa pinda, ndio niko mida hii.
 
Back
Top Bottom