Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,689
Mimi ni mtu mpole, mstaarabu, mkimya na nisiye na makuu. Nmejifunza kuheshimu na kupenda kila mtu. Siwezi ugomvi wala matusi
Nimekuwa hivi miaka yote. Kijana mtulivu, nisiye na makuu. Mnyonge na mpole. Hayo ndo yamekuwa msingi mkuu wa maisha yangu. Naishi na watu vizuri natabasamu hata wakiniudhi.
Sipendi maneno na mtu. Naheshimu kila mtu na naamini nitafanikiwa kupata mke mwenye sifa kama zangu. Namwakikishia huyo mwanamke ata enjoy sana. Nitampenda, nitamtunza na kumthamini sana. Atakula raha za dunia we acha tu.