The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,698
- Thread starter
- #21
Wake si Mungu bali shaitwan kabir wallahiAlipoanza kusema Mungu ataiingilia kati, hapo ndio nilianza kuilewa muvi ya kihindi....
Wake si Mungu bali shaitwan kabir wallahiAlipoanza kusema Mungu ataiingilia kati, hapo ndio nilianza kuilewa muvi ya kihindi....
Huyu ni changu na chawa wa kawaida aliyekuwa akijificha kwenye utapeli wa kuuza neno la Mungu kwa mazwazwa wenzakeIle press yake ya mara ya mwisho niliona kabisa maji yamezidi unga 😹😹
Hana lolote nyaani huyu. Wanamjuackuliko anavyojijua, na weshamweka ndani na kumtumia watakavyo asijue japo alidhani angewatumia, wakaishia kumuingiza ndaniAlitoa siku 10 kanisa lake lisipofunguliwa atafanya maamuzi magumu ila leo ni siku ya 24