Sadaly4
Senior Member
- Oct 27, 2022
- 114
- 53
Angalia filamu zote za James bond 007 pale ndo utaelewa vp gentleman anatakiwa aweMambo niaje wanaume wenzangu?
Kuna kautafiti ambako bado naendelea kukafanya kuhusu sifa za wanaume magentlemen.
Nimekuwa nikisikia wadada wengi hasa hawa wasomi na wanaoishi mjini kuwa wao wanapenda kudate na wanaume gentlemen.
Sasa hebu tusaidiane kuzijua sifa za hao wanaoitwa gentlemen tuzijue ili na sisi tupendwe na totoz za maana.