Hivi ni sifa kwa mwanaume kutembea na wanawake wengi?

Hivi ni sifa kwa mwanaume kutembea na wanawake wengi?

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,668
Habari za humu ndani?

Nawashangaa sana watu hasa wanaume ambao wanaona sifa kujitangaza kutembea na wanawake wengi kwa kutaja idadi kadhaa.

Sasa mimi niwaulize unapata faida gani unapotembea na wanawake wengi.

Na wadada ambao ni Michepuko ya watu wanadai wanapenda wanaume michepuko

Poleni.

=======
Nov 2015:

Wanaume na sifa za kutembea na kila wanamke, hivi huwa mnajisikiaje?

Kumekuwa na tabia mbovu mnoo kwa hii jinsia inayoelekea kutoweka duniani(wanaume), sijui ni malezi au ni ushamba!

Utakuta mwanaume anajisifia kuwa na mahusiano na wanawake wengi na kujitangazia kabisa, utasikia 'aaah yule tayari nishampitia yuko hivi na hivi"

Wengine huenda mbali zaidi na kujisifu na kujitangazia kuwalala ambao hata salamu yake hajawahi kuipata, au kwakuwa mwanamke alimtolea nje basi anajitangazia alishatembea nae na atamdescribe kabisa kwa jinsi alivyo(kumbe ni wivu tu kwa kukataliwa)
jamani ukitongoza ukakataliwa kubali tu matokeo ujue haujakidhi viwango vya mtongozwa, sio kumpakazia sifa za ajabu.

Mwingine utamsikia "aaaah yule malaya nishamlala" sasa hapo wewe sio malaya? wanajikuta wakiwapakazia wanawake sifa mbovu ambazo kwa upande mwingine zinawarudia.

Mwingine kama binti yuko vizuri upstair,kielimu,kiuchumi pia kwasababu tu ya insecurity zao wataanza kuwapakazia sifa mbovu kumbe wao ndio wabovu they cant handle them.

Kuna na huu ushauri huwa wanapeana sana hata humu ndani "jitahidi umlale then piga chini" huwa nawaza hizi akili ndio zitapandisha uchumi wa nchi kweli!!!

Siku hizi ndio wana mitusi hatari, achilia mbali umbea, huo muda mnautoa wapi ilihali nyie ndio vichwa vya familia, no wonder hamuishi kulialia, ilikuwa wanawake ndio wanadai 50/50 ila sasa wanaume ndio wanaidai tena karibia wataenda beijing kabisa.

Wengine kazi kuwasema mabinti za wenzao wabaya mara sijui umbo limefanya nn wakati hajawahi kuumba hata jiwe,na yeye ukimuangalia unapiga magoti kusali bintiye asije fanana naye maana itakuwa patashika.

Wengine humu ndani kila mwanaume ana hela, kila mwanaume anamfikisha mpenzi wake kileleni(wakati hajawahi hata mara moja na hata hajui mwanamke anafikishwa vipi kileleni) na hawataki kutulia kueleweshwa ama kufundishwa, ilihali ni bure bilashi.

Wengine ni washauri wabovu kupata kutokea kwa wanaume wenzao, mwenzie akimletea tatizo lake la ndoa akijua mwenzie ni experienced as ana muda mrefu ndoani utamsikia "asikuumize kichwa huyo dawa yake mchepuko" umevuruga kwako wataka kuvuruga na kwa mwenzio!

Ukiona mwanaume anajisifia sifa hizo basi jua hayumo kwenye kundi la wanaume bali ni wa kiume anaeelekea kwenda beijing, na kwa akili hizo basi wanawake jiandaeni kuoa.

Wapo wachache ambao hawahusiki na mada hii na utawatambua kwa comments zao tW, na hao ndio wanaume wachache waliobakia.

Jamani ukiona limekukaba tafadhali sukumia na maji maana its not my fault yo that way.
 
Kuchepuka hakuzuiliki kwa asili ya mwanaume but ikiwa too much ni ujinga.
 
Ni ujinga tena mkubwa, Unapotembea na wanawake wengi sio sifa bali unajitakia laana, tena laana hiyo hutembea hadi kwa watoto wako wa kike ambao nao watachezewa na wanaume wengine hata vibabu.Pia huwezi kumridhisha mwenzi wako maana unakuwa umechoka kimapenzi, kwa lugha nyingine unakuwa ni scraper, maana hata ukiona ta.ko la mkeo huwezi kusisimka maana umeisha ona makubwa, vimbaumbau, matepetepe, etc.Infact mtu wa namna hiyo ni majanga kwa jamii na inafaa aogopwe kama ukoma.

Vivyo hivyo kwa wanawake waliotembea na waume wengi kabla ya ndoa nao ni scraper, hawawezi kumlizisha mume maana wanakuwa wameathirika kisaikolojia, pia hawawezi kurizishwa na mume wake maana anakuwa ameisha ona nene, embamba, iliyopinda etc. Alishawahi kupata G.Spot orgasm, squarting, etc akiolewa na mwanamume asiyejimudu vizuri anachepuka na kuleta virusi nyumbani.Wanawake wa namna hii waogopwe kama ukoma.
 
Ni ujinga tena mkubwa, Unapotembea na wanawake wengi sio sifa bali unajitakia laana, tena laana hiyo hutembea hadi kwa watoto wako wa kike ambao nao watachezewa na wanaume wengine hata vibabu.Pia huwezi kumridhisha mwenzi wako maana unakuwa umechoka kimapenzi, kwa lugha nyingine unakuwa ni scraper, maana hata ukiona ta.ko la mkeo huwezi kusisimka maana umeisha ona makubwa, vimbaumbau, matepetepe, etc.Infact mtu wa namna hiyo ni majanga kwa jamii na inafaa aogopwe kama ukoma.

Vivyo hivyo kwa wanawake waliotembea na waume wengi kabla ya ndoa nao ni scraper, hawawezi kumlizisha mume maana wanakuwa wameathirika kisaikolojia, pia hawawezi kurizishwa na mume wake maana anakuwa ameisha ona nene, embamba, iliyopinda etc. Aishawahi kupata G.Spot orgasm, squarting, etc akiolewa na mwanamume asiyejimudu vizuri anachepuka na kuleta virusi nyumbani.Wanawake wa namna hii waogopwe kama ukoma.



Vizuri sana Mkuu kwa nondo.za Uhakika
wewe unadhani kwanini Michepuko haitaisha?
 
Wanamme wengi wanaojisifia, ama kujionyesha wanapendwa na wanawake huwa hawafanksheni:wacko:
 
Sisi wengine tumekutana na za umbo la mstatiri,nimefikisha 650,ninampango nikifikisha buku ndo niangalie yupi nimuoe hasa mwenye mnato,maana tumeshakutana na mabwawa,majaruba na maswimingpool.
 
Back
Top Bottom