Hivi gentlemen ndio mwanaume wenye sifa zipi jamani?

Hivi gentlemen ndio mwanaume wenye sifa zipi jamani?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,063
Reaction score
16,595
Mambo niaje wanaume wenzangu?

Kuna kautafiti ambako bado naendelea kukafanya kuhusu sifa za wanaume magentlemen.

Nimekuwa nikisikia wadada wengi hasa hawa wasomi na wanaoishi mjini kuwa wao wanapenda kudate na wanaume gentlemen.

Sasa hebu tusaidiane kuzijua sifa za hao wanaoitwa gentlemen tuzijue ili na sisi tupendwe na totoz za maana.
 
1.Anajielewa
2.Anaweza kuamua jambo bila kushurutishwa, kupendelea ama kuogopa.
3. Anaweza kusimama(stand for) kwa ajili ya kile chake ama anachoamini.
4. Atakapo kutongoza demu atamwendea bila uoga wala visababu.
5. Hachukulii LA kama jibu. Atajaribu tena na tena.
6. Anajilipia bili.
7. Anajuwa tym ya kuongea, kutenda na kunyamaza.
NB. CHOLERIC EXTROVERT.
 
Sasa na wewe hujui hilo...yani mfuko wako ukituna vizuri tu unaitwa hivyo.. unacheza na hawa watu au unawasikia..we ushangai vibabu vinaitwa baby mchana kweupe na vibinti vidogo yani wajukuu zao kabisa sema ndo misingi kiuno.,
 
Waulize akina dada wasomi na waishio mijini, usitafute njia ndefu kupata jibu sahihi. Kama umewasikia basi kawaulize itakuwa vizur zaidi
 
Gentleman ni wanaume walio calm, wako romantic, yani kwa ufupi ni waelewa flan hivi sio kama alomkimbia mwenzake NAKUMATI, maana hapo kwa gentleman angekuwa muwazi kuwa baby siko poa usichukue vitu vyote lakini wasingefikia kuchuuzana
 
Mi Nakwambia Gentleman Zamani Sasa Hv Hata Uwe Gentleman,sijui Hb Hakuna Kitu,sasa Hv Pesa=gentleman
Pesa=hb
Pesa=mapenzi
Pesa=kupendwa We Humuoni Wassira Sura Ngumu Mcheki Mkewe Na Watoto Wake Unaweza Ukakataaa!!We Usisumbuke Gentlemen Wanaowatajataja Hao Madada Ni Wanaume Wenye Pesa Tu.....
 
Ufahamu, tabia, na muonekano.

tyrese-gibson.jpg
 
tang'ana,



Listen to JOE THOMAS songs if you really wanna be a gentle man......u will learn a great deal of skills and special treatments.........i have his songs.
 

Attachments

  • 1440772608886.jpg
    1440772608886.jpg
    9.4 KB · Views: 511
Gentlemen ni watu kama Magufuli

We Jamaa Hakuna Cha Magufuli Wala Lowassa Hakuna Gentleman Hata Mmoja Hapo Kwa Kutumia Vigezo Vya Zaman Kikwete Ndo Gentleman....Lakini Kwa Vigezo Vya Sasa Hv Aaaah Bakhresa Ndo Gentleman Anapesa Bwana....
 
Huyo hapo.......sio hawa mabwege wenu mnawasikiliza siku hizi sijui meek mill sijui wiz khalifa kazi kuhamasisha kuvuta bangi....pombe.....ulevi na umalaya tu nyiooooo
 

Attachments

  • 1440772710309.jpg
    1440772710309.jpg
    19.9 KB · Views: 523
We Jamaa Hakuna Cha Magufuli Wala Lowassa Hakuna Gentleman Hata Mmoja Hapo Kwa Kutumia Vigezo Vya Zaman Kikwete Ndo Gentleman....Lakini Kwa Vigezo Vya Sasa Hv Aaaah Bakhresa Ndo Gentleman Anapesa Bwana....

Hahahahahaaaa basi gentleman ni kitale
 
Kuwa na Pesa.....
Kuwa humble na kujalijali muda wote he wants to know what makes her cry.....
Kumpa heshima mwanamke wako...
Kuwa na upendo....
Kuwa mtanashati.....
Ila kuwa na Pesa ndiyo kipengele muhimu sana.

AGALIZO; kibongo bongo kuwa gentleman kunaweza kukugeuza zombi, usijaribu bongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom