Hivi gentlemen ndio mwanaume wenye sifa zipi jamani?

Hivi gentlemen ndio mwanaume wenye sifa zipi jamani?

Gentleman ni wanaume walio calm, wako romantic, yani kwa ufupi ni waelewa flan hivi sio kama alomkimbia mwenzake NAKUMATI, maana hapo kwa gentleman angekuwa muwazi kuwa baby siko poa usichukue vitu vyote lakini wasingefikia kuchuuzana

Ah ah ah ah
 
Kuwa na Pesa.....
Kuwa humble na kujalijali muda wote he wants to know what makes her cry.....
Kumpa heshima mwanamke wako...
Kuwa na upendo....
Kuwa mtanashati.....
Ila kuwa na Pesa ndiyo kipengele muhimu sana.

AGALIZO; kibongo bongo kuwa gentleman kunaweza kukugeuza zombi, usijaribu bongo.

Hahahahah Zombie tena???
 
Gentleman ni wanaume walio calm, wako romantic, yani kwa ufupi ni waelewa flan hivi sio kama alomkimbia mwenzake NAKUMATI, maana hapo kwa gentleman angekuwa muwazi kuwa baby siko poa usichukue vitu vyote lakini wasingefikia kuchuuzana

hahahaaa
 
Ukawa
pochi
mrefu/body lililoshiba kias
unajua kuongea mbele ya watu
kujiamini
not dat much talkative
msimamo
presentable
smart
maamuzi magumu/sahihi.= gentleman
 
gentleman anasherehe tatu tu katika maisha yake. siku ya kuzaliwa, siku ya kufunga ndoa na siku ya kufa. pia hatokei kwenye kurasa za mbele za magazeti ya udaku. anavaa suti na viatu vinavyo endana na suti yake. haongei hovyo hovyo na akiongea hakosei. hata awe na matatizo huwezi kujua.......
 
Ukawa
pochi
mrefu/body lililoshiba kias
unajua kuongea mbele ya watu
kujiamini
not dat much talkative
msimamo
presentable
smart
maamuzi magumu/sahihi.= gentleman

Hapa umetuelezea your dream man, sio?

Any smart fool would know better than to let himself get caught up in the political bs drama. Gentlemen are their own main men.
 
Gentleman ni wanaume walio calm, wako romantic, yani kwa ufupi ni waelewa flan hivi sio kama alomkimbia mwenzake NAKUMATI, maana hapo kwa gentleman angekuwa muwazi kuwa baby siko poa usichukue vitu vyote lakini wasingefikia kuchuuzana

ha ha haaaaa...nilicheka sana ile thread, sijui kwa nn hakumuambia usichukue vyote hvo
 
Gentlemen ni mwanaume mwenye pesa za uhakika sio za mawazo.
 
Ni kaneno fulani hivi wanakatumia hawa viumbe wa kike wanapotaka kutunyanyasa kijinsia...
 
Ukitaka kuitwa gentleman mzee utajikuta unakimbizwa na kila aina ya utumwa.Yan end if the day utajikuta mwenyewe hujielew na wanaluzunguka pia hawakuelewi.Yan bara haupo wa pwani huonekani.

The real gentleman is the real You.
 
Ni kaneno fulani hivi wanakatumia hawa viumbe wa kike wanapotaka kutunyanyasa kijinsia...
Kama kwel flan..na kananyanyasa kwel usipojua ww ni nani na unataka nn kwenye maisha haya.
Ahahahajajaj
 
huyo hapo.......sio hawa mabwege wenu mnawasikiliza siku hizi sijui meek mill sijui wiz khalifa kazi kuhamasisha kuvuta bangi....pombe.....ulevi na umalaya tu nyiooooo
Boss upo vizuri mno. Joe ni kati ya wasanii wa mwisho kuwakilisha muziki laini wa kimapenzi kwa namna ya kipekee. Nikiwa Shule ya Msingi dada yangu tuliyeendana naye mno alinunua kaseti yake wakati huo album yake kama (sikosei) ya "My Name is Joe" ikiwa moto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom