Hivi duniani kuna mdudu msumbufu kama KUNGUNI?

Hadithi ya kunguni,huwa anapandwa na dume kwa njia ya insemination,anachomwa kamwiba na dume,maeneo ya tumboni,baada ya kuchomwa tu,huwa hafanyi Tena mapenzi,yeye shughuli yake ni kutaga tu,kwa maisha yake yote pindi akishiba tu,hutaga mayai 7-8 kwa siku moja,
Akiwa kwenye mchongo wa kula ndafu vizuri huweza kuishi kwa miezi 24.
Katoto kadogo kabisa ka kunguni huweza kunywa damu vizuri sana.
 
Vishenzi mno hivi vijitu! Ndiomaana vinakuwaga vingiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…