Hivi duniani kuna bahati? Nini maana ya bahati?

Hivi duniani kuna bahati? Nini maana ya bahati?

Kila tukio lina sababu zake na matokeo yake, na maisha ya binadamu ni mfululizo wa hesabu na maamuzi yanayopelekea mtu kuwa mahali flani kwa wakati flani.

Tunachokiita “bahati” ni tafsiri ya matokeo ya mchanganyiko wa hali, mazingira, na maamuzi yaliyotangulia.
Hakuna kitu kinachoojiibukia chenyewe from nowhere,,
 
Maisha hayategemei bahati na Wala haipo; kila mmoja huishi ndani ya kile kilichopangwa kwa ajili yake. Umasikini na utajiri mara nyingi ni matokeo ya mazingira, nafasi, na majaaliwa yaliyotangulia. Zaidi ya yote, mwanzo na mwisho wa safari ya Kila mwanadamu umekwisha amuliwa
 
Sijajua mpaka leo kuzaliwa Tanzania ni bahati au siyo bahati,, maana shida ni zile zile
 
Bahati, kupambana na juhudi ni vitu vinavyokaa pamoja.
 
Dunia yote ni bahati kama kubet , leo wewe ni mzima unachukulia poa , ni bahati hiyon.. kuna mwamba muda huu amepata ajali anagonjea kukatwa mguu , huku mwingine anapambania uhai . No one knows tomorrow.
 
cha kuongezea hapo huwezi kuwa au kupata bahati kama huna kibali,

Hujawahi kuona mtu ana kila kitu Elimu, maarifa, ujuzi, capital lakini bado maisha hayajamnyookea?

Ongezea yako kama hivyo... Maswali ya nini hata kama nayajua ilikuwa lazimaaaaaaa niandike?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom